Huyu mzee inabidi apewe cheo ili astaafu nacho vizuri ama hata mshauri wa diplomasia huko Tanzania embassy in USA kidogo atanyamaza Ni akili tu za ccm jamani sio mie
“Mimi huwa nasema kila siku, Kama siyo Magufuli (hayati Rais John) kuamua kugombea wakati ule, CCM ilikuwa inapoteza. Tulishafanya analysis zetu kabisa tukaona CCM haiendi mbali. Magufuli kuja kugombea ndiyo ime rejuvenate (imeifufua) CCM.
Chama Cha Majangili kitamsukia zengwe muda siyo mrefu,yanaweza ata yakaagiza serikali isimpe pensheni zake za kila mwezi na vilevile nafasi wa Mwenyekiti wa bodi akazisikia redioni,maana Mashirika ya umma si ndiyo kimvuli cha wastaafu kupunzikia kama wenyeviti wa Bodi.