Anavumiliwa Kuna mstari hataruhusiwa avukeHadhi ya Zimbabwe ilianza kuporomoka hivihivi kwa tathimini za mashirika hayahaya.
Tatizo la serikali hii inadhani matendo yake hayaonekani nje na kupimwa, ni aibu kutoka nchi iliyokuwa ya kupigiwa mfano mwema hadi kunyooshewa vidole
ExactlyWajibu au waanze kufanyia kazi? Ripoti siyo ya kujibiwa ni kutendea kazi kwa sababu hakuna kilichodanganywa. Mbona nyie mkipewa ripoti mnatumbua watu hadharani? Kwani mmewahi sema tunasubiri majibu?.
Alafu kusema mtajibu mnamaama yaliyoandikwa yamesingiziwa na uwongo? Isije mkaleta hoja kwa hoja. Utasikia "Hawa kwakuwa sikuizi hawatunyoji na tumewazibia mirija yao yote sasa wanawashwawashwa na ndio kuiva kwenyewe kwa maharage. Tunawazidi maendeleo ndio maana wanatuchukua tumejenga bridge over, sgr,stiglier mandege yanamimika kila mwezi"
Balozi Mahiga ana uwezo mkubwa wa kuwa mzimamoto wa serikali.Amesema hivyo ili kushusha pressure ya wachangiaji wa mitandaoni, lakini pressure ikishuka na wao watapotezea. Ni kama ule utapeli wa tume ya waziri mkuu kuhusu ajali ya moto wa mafuta kule Morogoro. Ni bahati mbaya hamna mpinzani anayeweza kuitisha vyombo vya habari na kupandisha utambi kwenye hiyo ripoti.
Hivi Waziri Mahiga bado ni Waziri wa Mambo ya Nje?
Juzi nilimuona akitolea ufafanuzi mambo ya China nikashangaa, Waziri wa Katiba na Sheria anafanya kazi ya Waziri Kabudi nikajiuliza au Magufuli alikurupa kumuondoa jamaa?.
Naweza pata wapi hako kaclip mkuu.Balozi Mahiga ana uwezo mkubwa wa kuwa mzimamoto wa serikali.
Kuna wakati Balozi wa Tanzania Burundi alishiriki kwenye biashara ya silaha. Membe alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Siku hizo Balozi Mahiga alikuwa Balozi wa Tanzania UN.
Basi Membe alihojiwa akachemka kitoto. Akakataa katakata kwamba Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania wamehusika kwenye biashara ya silaha Mashariki ya Congo.
Kumbe BBC wamemfanyia maswali ya mtego, wanauliza maswali kama hawajui, wakati wananushahidi wite moaka text nessages za Balozi.
Kikwete alikasirika sana Membe alivyozidiwa kete na waandishi wa habari, akampigia simu Balozi Mahiga New York. Akamwambia hii kazi ya kutuliza scandal nakupa wewe.
Siku chache baadaye nikasikia BBC wanamuhoji balozi Mahiga.
Wamemuuliza seali, kwanza anaanza kujibu na historia ndefu ya Tanzania na inavyojishughulisha kupatikanankwa amani eneo la maziwa makuu, akaongea misingi ya tangu siku za Nyerere, akafundisha darasa kama enzi zake Profesa wa Chuo Kikuu. Kisha akacheza sarakasi za kidiplomasia, akasema serikali ya Tanzania haihusiki na biashara chafu ya silaha, ila hawezi kusema kama wafanyakazi wa serikali wanehusika kama watu binafsi. Anachofanya ni kaanzisha uchunguzi wa kimataifa kuangalia jambo hili, na hatua zitachukuliwa kulingana na uchunguzi utakavyoona.
Nikajua mzee mzima kashamaliza kazi.
Sikuisikia tena ile scandal wala sijui uchunguzi uliishaje. Kitu muhimu Dr. Mahiga alizima moto kidiplomasia kwa jinsi ambayo Membe alishindwa.
Baadaye kidogo nikasikia balozi wa Tanzania Burundi karudishwa nyumbani.
Nikajua mule muleee.
Huyu Mzee mashavu yameshuka Kwa kusema uongo eti "tutajibu mstari kwa mstari"
Hii nchi inahitajika mapinduzi ya fikra Kwa viongozi wa CCM
Upinzani upi bwashee?!Upinzani please prepare a "counter affidavit" reply to Mahiga's "affidavit" when it is public as promised!
Hata hili angeliongelea Kabudi mambo yangekuwa tofauti!Balozi Mahiga ana uwezo mkubwa wa kuwa mzimamoto wa serikali.
Kuna wakati Balozi wa Tanzania Burundi alishiriki kwenye biashara ya silaha. Membe alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Siku hizo Balozi Mahiga alikuwa Balozi wa Tanzania UN.
Basi Membe alihojiwa akachemka kitoto. Akakataa katakata kwamba Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania wamehusika kwenye biashara ya silaha Mashariki ya Congo.
Kumbe BBC wamemfanyia maswali ya mtego, wanauliza maswali kama hawajui, wakati wananushahidi wite moaka text nessages za Balozi.
Kikwete alikasirika sana Membe alivyozidiwa kete na waandishi wa habari, akampigia simu Balozi Mahiga New York. Akamwambia hii kazi ya kutuliza scandal nakupa wewe.
Siku chache baadaye nikasikia BBC wanamuhoji balozi Mahiga.
Wamemuuliza seali, kwanza anaanza kujibu na historia ndefu ya Tanzania na inavyojishughulisha kupatikanankwa amani eneo la maziwa makuu, akaongea misingi ya tangu siku za Nyerere, akafundisha darasa kama enzi zake Profesa wa Chuo Kikuu. Kisha akacheza sarakasi za kidiplomasia, akasema serikali ya Tanzania haihusiki na biashara chafu ya silaha, ila hawezi kusema kama wafanyakazi wa serikali wanehusika kama watu binafsi. Anachofanya ni kaanzisha uchunguzi wa kimataifa kuangalia jambo hili, na hatua zitachukuliwa kulingana na uchunguzi utakavyoona.
Nikajua mzee mzima kashamaliza kazi.
Sikuisikia tena ile scandal wala sijui uchunguzi uliishaje. Kitu muhimu Dr. Mahiga alizima moto kidiplomasia kwa jinsi ambayo Membe alishindwa.
Baadaye kidogo nikasikia balozi wa Tanzania Burundi karudishwa nyumbani.
Nikajua mule muleee.
Basi wewe mashavu yamepanda kwa kiongea ukweli. Nadhani unafanana kama bundi hivi.Huyu Mzee mashavu yameshuka Kwa kusema uongo eti "tutajibu mstari kwa mstari"
Hii nchi inahitajika mapinduzi ya fikra Kwa viongozi wa CCM
Once you touch the question of rights...Hivi Waziri Mahiga bado ni Waziri wa Mambo ya Nje?
Juzi nilimuona akitolea ufafanuzi mambo ya China nikashangaa, Waziri wa Katiba na Sheria anafanya kazi ya Waziri Kabudi nikajiuliza au Magufuli alikurupa kumuondoa jamaa?.
Daah nimemiss makala za Jenerali Ulimwengu kwenye Raia mwema enzi za utawala wa Kikwete. Naona uhuru wa kuandika maoni huru umebanwa kiasi kwamba werevu hawandiki tena makala.....