Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine.
📸Picha na Ubalozi, Stockholm
📸Picha na Ubalozi, Stockholm