Balozi Mobhare Matinyi awasili kwa mara ya kwanza ofisini Stockholm Sweden

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine.

📸Picha na Ubalozi, Stockholm

 
Mazingira duni kama Dodoma!
Miti imepururusha majani kama Simiyu!
 
Huo ndio ubaloz wetu.

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…