Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Jun 26, 2025 #1 Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania Waishio Nchini Norway Lengo: Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora. Washiriki: Diaspora wa Tanzania waliopo nchini Norway. Tarehe: 28 Juni 2025 Muda: Kuanzia saa 8:00 Mchana hadi saa 11:00 Jioni Mahali: Stortorvet 4, 0155 Oslo, Norway
Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania Waishio Nchini Norway Lengo: Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora. Washiriki: Diaspora wa Tanzania waliopo nchini Norway. Tarehe: 28 Juni 2025 Muda: Kuanzia saa 8:00 Mchana hadi saa 11:00 Jioni Mahali: Stortorvet 4, 0155 Oslo, Norway
M Mangi Mlay JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,743 Reaction score 7,106 Jun 26, 2025 #2 Ojuolegbha said: Mkutano wa Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini NorwayView attachment 3384601 Click to expand... Labda huyu atakuwa tofauti maaana Tanzania imekuwa ikipata mabalozi wabovu Sweden kuanzia na Slaaa
Ojuolegbha said: Mkutano wa Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini NorwayView attachment 3384601 Click to expand... Labda huyu atakuwa tofauti maaana Tanzania imekuwa ikipata mabalozi wabovu Sweden kuanzia na Slaaa