balozi mobhare matinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mobhare Matinyi Atembelea Wazalishaji wa Mashine za Bidhaa za Kilimo Algeria

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiagana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya CAM SARL, Bouzid Belhad, ambayo hutengeneza mashine za kusindika na kufungasha dawa na mazao ya kilimo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa CAM, Abderraouf Belhadj, na kulia ni...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaalikwa kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika 2028

    Taasisi ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ijulikanayo kama Africa Bee Expo, imeialika Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Tano ya Ufugaji wa Nyuki Afrika yatakayofanyika mwaka 2028 na kujumuisha wafugaji wa nyuki kutoka takribani nchi 50. Mwaliko huo ulitolewa leo na Mwenyekiti wa...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mobhare Matinyi kufanya mkutano na Watanzania waishio nchini Norway

    Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania Waishio Nchini Norway Lengo: Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora. Washiriki: Diaspora wa Tanzania waliopo nchini Norway. Tarehe: 28 Juni 2025 Muda: Kuanzia saa 8:00 Mchana hadi saa 11:00 Jioni Mahali: Stortorvet 4, 0155...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini Sweden

    Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini Sweden Lengo: Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora Mahali: Näsby Allé 6 18355 Täby, Sweden. Washiriki: Diaspora wa Tanzania nchini Sweden Tarehe: 29/05/2025 Muda: Saa 7:00 mchana.
Back
Top Bottom