Mkutano wa Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini Sweden

Mkutano wa Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini Sweden

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania waishio nchini Sweden

Lengo: Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora

Mahali: Näsby Allé 6 18355 Täby, Sweden.

Washiriki: Diaspora wa Tanzania nchini Sweden

Tarehe: 29/05/2025

Muda: Saa 7:00 mchana.

IMG-20250526-WA0493.jpg
 
Back
Top Bottom