Basi kazi ipoNdo chairperson
Mtu mzima namna ile unagombeaje viti maalumu? Tena ana elimu kubwa tu, kwanini hakuchukua form ya Jimbo?Huyu mama rafiki wa jk nae ana bifu gani na Hangaya mpaka hadi viti maalumu kaliwa kichwa?
Hangaya ndiye final sayHivi kwani hangaya kumbe ndio pilato kwenye teuzi