Balozi Mulamula nae kumbe kaliwa kichwa viti maalumu?

Mtu
Huyu mama rafiki wa jk nae ana bifu gani na Hangaya mpaka hadi viti maalumu kaliwa kichwa?
Mtu mzima namna ile unagombeaje viti maalumu? Tena ana elimu kubwa tu, kwanini hakuchukua form ya Jimbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…