Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii.
IMG-20230208-WA0004(1).jpg

Balozi wa Utalii Nangasu Warema

Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo Tanzania ambayo tayari hatua madhubuti zimechukuliwa.

Amesema miongoni mwa hatua ambazo Tanzania imechukua ni pamoja na Rais Samia kutoa ruzuku kwenye mafuta ya petroli, dizeli pamoja na mafuta ya taa karibu Sh100 bilioni kila mwezi.

Warema amesema eneo jingine ambalo Serikali ya awamu ya sita imetoa ruzuku ni kwenye bei ya mbolea na mbegu ili kuwarahisishia wakulima upatikanaji wake kwa urahisi.

Amesema kitendo cha Rais Samia kuamua kuongeza bajeti ya kilimo mara nne zaidi ya mara ya kwanza, kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji vitaongeza kilimo cha tija kwa watanzania.

“Sasa hivi Tanzania ndiyo kimbilio la chakula kwa nchi zote za Afrika Mashariki na kati,” imeeleza sehemu ya taarifa ya balozi huyo.
 
Naandika nafuta naandika nafuta. Sema mwanasheria wangu kasafiri
JamiiForums-1906920747.jpg
 
Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii.
View attachment 2512567
Balozi wa Utalii Nangasu Warema

Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo Tanzania ambayo tayari hatua madhubuti zimechukuliwa.

Amesema miongoni mwa hatua ambazo Tanzania imechukua ni pamoja na Rais Samia kutoa ruzuku kwenye mafuta ya petroli, dizeli pamoja na mafuta ya taa karibu Sh100 bilioni kila mwezi.

Warema amesema eneo jingine ambalo Serikali ya awamu ya sita imetoa ruzuku ni kwenye bei ya mbolea na mbegu ili kuwarahisishia wakulima upatikanaji wake kwa urahisi.

Amesema kitendo cha Rais Samia kuamua kuongeza bajeti ya kilimo mara nne zaidi ya mara ya kwanza, kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji vitaongeza kilimo cha tija kwa watanzania.

“Sasa hivi Tanzania ndiyo kimbilio la chakula kwa nchi zote za Afrika Mashariki na kati,” imeeleza sehemu ya taarifa ya balozi huyo.
kwani yeye siyo Dokta?
 
Samahani wajumbe! Nina swali nje ya mada. Kuna mjumbe anayemfahamu Balozi wetu nje ndani? Ameolewa? Majibu tafadhali.
 
Balozi wa utalii? Yule aliye ekti royo tua ni nani sasa? Anaripoti wizara gani? Ni sehemu ya muundo wa ajira za wizara? Au anaripoti kwa namberi uno?

  • Balozi wa Utalii anatolea ufafanuzi masuala ya uchumi, nadhani ni kwa niaba ya serikali itakuwa.
  • Waziri wa fedha anajibu swali la wizara ya maji
  • Meneja/Wachungaji wanatunikiwa shahada za heshima
 
Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii.
View attachment 2512567
Balozi wa Utalii Nangasu Warema

Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo Tanzania ambayo tayari hatua madhubuti zimechukuliwa.

Amesema miongoni mwa hatua ambazo Tanzania imechukua ni pamoja na Rais Samia kutoa ruzuku kwenye mafuta ya petroli, dizeli pamoja na mafuta ya taa karibu Sh100 bilioni kila mwezi.

Warema amesema eneo jingine ambalo Serikali ya awamu ya sita imetoa ruzuku ni kwenye bei ya mbolea na mbegu ili kuwarahisishia wakulima upatikanaji wake kwa urahisi.

Amesema kitendo cha Rais Samia kuamua kuongeza bajeti ya kilimo mara nne zaidi ya mara ya kwanza, kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji vitaongeza kilimo cha tija kwa watanzania.

“Sasa hivi Tanzania ndiyo kimbilio la chakula kwa nchi zote za Afrika Mashariki na kati,” imeeleza sehemu ya taarifa ya balozi huyo.
Balozi mrembo.
 
Back
Top Bottom