Balozi Ngaiza Afariki dunia!

Balozi Ngaiza Afariki dunia!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Wakuu JF, tuna habari za huzuni kwamba Mwanasiasa wa siku nyingi sana toka enzi za Mwalimu, amefariki dunia leo asubuhi sana. Tutawaletea habari zaidi za msiba na matayarisho ya mazishi.

- Mungu amuweke mahali pema peponi na poleni sana kwa familia na hasa Mkulu Oscar, tupo pamoja sana mkuu katika maombolezo.

Respect.

Field Marshall Es.
 
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.
Wafiwa Mungu awape heri na amani katika kipindi hichi kigumu.
 
- Wakuu JF, tuna habari za huzuni kwamba Mwanasiasa wa siku nyingi sana toka enzi za Mwalimu, amefariki dunia leo asubuhi sana. Tutawaletea habari zaidi za msiba na matayarisho ya mazishi.

- Mungu amuweke mahali pema peponi na poleni sana kwa familia na hasa Mkulu Oscar, tupo pamoja sana mkuu katika maombolezo.

Respect.

Field Marshall Es.

sasa mbona unatoa habari roborobo? ngaiza gani? amewahi kuwa ktk nafasi gani. kama ulimlenga oscar si unemPM ingetosha?

kama umeleta jamvini basi sema japo kidogo na wengne tujue tunamuongelea nani?
 
sasa mbona unatoa habari roborobo? ngaiza gani? amewahi kuwa ktk nafasi gani. kama ulimlenga oscar si unemPM ingetosha?

kama umeleta jamvini basi sema japo kidogo na wengne tujue tunamuongelea nani?

kweli mkuu...................... sasa sisi tutajuaje kuwa huyo ni ngaiza gani?.............. tuleytee maelezo kamili mkuu.................. halafu haya ya kutajana majina hapa jamvini (kama ulivyomtaja oscar) utakuja kulimwa ban bure........... hamchelewei kusahau nyie.............. muulize edson kilichompata wakati wa akisistasita kutoa mchango kwenye arusi ya geof.............
 
- Marehemu alifahamika kwa jina la Christopher Ngaiza, aliwahi kuwemo kwenye uongozi vyama vya ushirika kwa mkoa wa Bukoba, pia aliwahi kuwa Balozi wetu Egypt, aliporudi nyumbani akawa mshauri wa Mwalimu katika mambo ya siasa, kabla ya kwenda kwua muwakilishi wetu kwenye Great Lake Zone.

- Mwaka 1980, alipatikana na kesi ya uhaini ambayo baadaye aliachiwa na alijaribu kugombea ubunge wa Muleba Kusini, kupitia chama cha CCM, lakini hakufanikiwa hivyo akajiunga na Chadema mpaka leo asubuhi alipofariki.

- Amefariki hospitali ya mjini Nairobi na mipango ya kusaifirisha mwili kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika nyumbani kwa marehemu mkoani Kagera, tutaendeelea kufahamishana zaidi yatakayojiri juu ya huu msiba.

- Mungu Amuweke Pema Peponi.

Respect.

FMEs!
 
RIP MH. NGAIZA.
nafikiri mzee huyu ashawahi kuishi chole road masaki zamani kidogo,kama sijakosea.
Mungu ailaze roho yake pema peponi
 
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi na nawaombea faraja familia, ndugu na jamaa ya marehemu wakati huu wa majonzi, Amina.
 
Poleni wanaCHADEMA na familia ya balozi. Nasihi tumepoteza mtu muhimu.

Rest In Peace Balozi Chris
 
Oscar, Peter na Dada yenu, poleni sana.
RIP Balozi Christopher Pastor Ngaiza!.
 
alishawahi kuwa balozi wa kwanza umoja wa kimataifa enzi ya tanganyika na ni mwnaharakati aligombea ubunge mleba kaskazin 2005 kwa chama cha CHADEMA na ailkuwa natarajiwa kugombea tena mwaka huu alifariki usiku wa kuamkia jana NAIROBI ( R I P) tupamoja wanachadema na watanzania
 
RIP Ngaiza. Kamachumu watakuwa wamepoteza Mzee wao muhimu kabisa.
 
JK anakwenda msibani?

RIP - CN: Mungu akipenda tutaonana tena.
 
JK anakwenda msibani?

RIP - CN: Mungu akipenda tutaonana tena.
Atakwenda tu baba wa watu. Habagui wala hachagui kwa kuwa yeye hajui atajazikwa na nani. Kwa matatizo ya watu, JK wetu hana mfano.
 
Aisee,
Ndo huyo Ngaiza aliyewahi kukaa Ngara? Alikuwa vyama vya Ushirika mkoa wa Kagera?
 
Back
Top Bottom