Balozi Paul Mella: Hatujaweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani kuonekana kupiga risasi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo kwa Wanajeshi kutoka nchi jirani kufyatua risasi wakati wa vurugu hizo.

Balozi Mella amesema kuwa Tume hiyo haikuweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani hivyo suala hilo wameliacha katika uchunguzi wa kina ambao ni wa kijinai

Naona hizi tume zinapewa majina mapya kila kukicha..... eti wamewaachia tume ya uchunguzi, na wao walijiita tume ya kubaini... right 🤔
 
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo kwa Wanajeshi kutoka nchi jirani kufyatua risasi wakati wa vurugu hizo.

Balozi Mella amesema kuwa Tume hiyo haikuweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani hivyo suala hilo wameliacha katika uchunguzi wa kina ambao ni wa kijinai
Huyu mwanajeshi (supposedly a faithful defender of his nation) sijui alikubalije kutumika kama taulo la damu. Kajidhalilisha sana!
 
Hivi hawawezi kabisa kunyamaza kimya ili wapunguze aibu na fedheha!
 
Back
Top Bottom