Hata Kmkm hawakubainika??Hatujaweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani kuonekana kupiga risasi
Weka humu hayo matakataka🚮🚮Hivi hao wazee wa hovyo bado wanatoa ripoti kwa nani??? si rais kasema ni ya kwake sisi inatuhusi nii
Huyu mwanajeshi (supposedly a faithful defender of his nation) sijui alikubalije kutumika kama taulo la damu. Kajidhalilisha sana!Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo kwa Wanajeshi kutoka nchi jirani kufyatua risasi wakati wa vurugu hizo.
Balozi Mella amesema kuwa Tume hiyo haikuweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani hivyo suala hilo wameliacha katika uchunguzi wa kina ambao ni wa kijinai