EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hili ni bonge la biti ni kama home umekosa dingi anakuambia kale kwanza halafu tutaongea baadaeKaingia kwenye 18 vizuri
Sio yule jamaa aliteuliwa na Magu akaanza kuaga kila mtu hadi zenji alienda Magu akampiga mkwara karipotiKwasasa balozi wa Tz nchini Malawi ni nani?
Sio yule jamaa aliteuliwa na Magu akaanza kuaga kila mtu hadi zenji alienda Magu akampiga mkwara karipoti
Wewe unaona mbali sana.Nyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.
Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
Wabongo tuko vizuri kwenye umbeaNyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.
Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
Nimenukuu alichokisema Rais sijaweka maneno yangu hapoNyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.
Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
Sasa wewe uko humu jamiiforum kufanya nini? Acha watu watoe maoni yao, ndio afya ya akili.Nyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.
Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
hakuna biti hapo ni kawaida akitoka pale kivukoni wapeane abc kwa maana ya kuweka mambo sawa.hawezi kuondoka tu kiholela.Hili ni bonge la biti ni kama home umekosa dingi anakuambia kale kwanza halafu tutaongea baadae