Kama ni empty yule Mungu wenu yuko wapi,na kwa nini mlimfanya Mungu wakati mlijua wazi kuwa ni mwanadamu kama ninyi,acheni ushenzi sisi sote ni binadamu,Vyeo vipo kwa ajili ya wanadamu lakini pumzi ni ya Mungu,kuweni makini na ujinga wenu,mtu kufanya vizuri au vibaya isiwe sababu ya kumwona kuwa yeye anafaa kuliko wanadamu wengine.