Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

Ningekuwa Mimi ssh Polepole ningempeleka chuo Cha ubaharia akajifunze Uchumi wa buluu wa kuogelea ziwa Nyasa kwa wamanda wenzake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1340][emoji1340][emoji1340][emoji1340][emoji1340][emoji1341][emoji1341][emoji1341][emoji1341]
 
“Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu” amesema Rais Samia Suluhu Hassan kwa kifupi akimuelekeza Polepole baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi kabla ya uteuzi huo alikuwa mbunge wa kuteuliwa.

#MwananchiUpdates

Huyu jamaa bado kakalia kuti kavu kwa mujibu wa kauli ya SSH.

View attachment 2151396
Mama anamweka pembeni kila mtu ambeye ni tishio kwake. List hii ilikua inamtisha sana. Majaliwa, Ndugai, Polepole, Kabudi, Lukuvi. Ukisikia Sukuma gan ndio hao japo kwa kabila zao sio wote wasukuma. Baada ya Ndugai kung'olewa uspika Majaliwa hana ubavu tena zaidi ya kunyenyekea kwa mama. Si mnakumbuka ile kauli ya mama kule A town wakati anamchamba Ndugai? Alisema hivi....'Nilikua naskia sikikia huko bungeni kwa kina majaliwa....' Hii kauli hakulenga mtu mmoja bali kikundi kileee kilichokua kinajiandaa na 2025.
 
Sijui watu mmeichukuliaje hii issue ila kwa upande wangu naona maza ndo anamuogopa polepole kama alikuwa hamtaki angemtoa tu kwenye ukatibu uenez halaf angemkaushia

Hii ya kumpa ubunge Mara ubalozi naona maza anatapatapa tu na anazid kumuongezea umaarufu huyu dogo
Ubunge alipewa na Jiwe.

Bashiru ndio alipewa na Rais Samia
 
Katika kipindi cha miaka nane tu Polepole anaendelea kuboresha wasifu wake kwa mawe mazito mazito tu;
  • Mjumbe wa kamati ya rasimu ya katiba
  • Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM
  • Mbunge wa kuteuliwa katika Bunge la JMT
  • Shahada ya uzamili IDS UDSM
  • Cheti cha ushiriki masuala ya kidemokrasia kutoka Chuo cha Demokrasia
  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi

Kwa umri wake huu ni mtaji mkubwa sana kwake. Akiwa huko Malawi kama balozi anaweza pua kusoma shahada yake nyingine ya uzamivu taratiiiibu.
District Commissioner
 
“Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu” amesema Rais Samia Suluhu Hassan kwa kifupi akimuelekeza Polepole baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi kabla ya uteuzi huo alikuwa mbunge wa kuteuliwa.

#MwananchiUpdates

Huyu jamaa bado kakalia kuti kavu kwa mujibu wa kauli ya SSH.

View attachment 2151396
Kwangu mimi Polepole ni shujaa aliweka wazi msimamo wake na aliwataka wakipenda wachukue ubunge wao. Inaonekana wameamua kuchukua kiaina.
Na hili litadhihirika pale watakapomtumbua bila sababu ndani ya muda mfupi ujao.
Wameamua kutusahaulisha na kweli tunasahu maana wanajua ataonekana shujaa aliesimamia msimamo wake
 
[emoji1756][emoji1756]
 
Mama anamweka pembeni kila mtu ambeye ni tishio kwake. List hii ilikua inamtisha sana. Majaliwa, Ndugai, Polepole, Kabudi, Lukuvi. Ukisikia Sukuma gan ndio hao japo kwa kabila zao sio wote wasukuma. Baada ya Ndugai kung'olewa uspika Majaliwa hana ubavu tena zaidi ya kunyenyekea kwa mama. Si mnakumbuka ile kauli ya mama kule A town wakati anamchamba Ndugai? Alisema hivi....'Nilikua naskia sikikia huko bungeni kwa kina majaliwa....' Hii kauli hakulenga mtu mmoja bali kikundi kileee kilichokua kinajiandaa na 2025.
Hili dongo nalikumbuka, maza ni noma sana
 
Back
Top Bottom