Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

Kuliko kupoteza rasilimali ya kufundisha watu Diplomasia kwanini wasitafute mtu ambaye ameshaiva tayari ?

Kwangu mimi ni either wewe mwanadiplomasia au sio haya mambo sio ya kufundishana wala kupigana misasa...,

Tuoneeni basi huruma kodi za wabangaizaji

Kwani huwa watu wanaoweza kuwa viongozi nchi hii ni wale wale tuu hakunaga wengine?
 
Yaonekana msaada na taaluma ya Polepole inahitajika sana serikalini japo kuna dalili ya yeye kuwa mgumu kwenye hilo.

Tusubiri mwisho wa picha.
 
Unaweza kudhani hizi Script ni za Taarab za kina Mzee Yusuf na Khadija Koppa...

Ngoja tusubiri Single nyingine kwenye hii LP
 
Sijui watu mmeichukuliaje hii issue ila kwa upande wangu naona maza ndo anamuogopa polepole kama alikuwa hamtaki angemtoa tu kwenye ukatibu uenez halaf angemkaushia

Hii ya kumpa ubunge Mara ubalozi naona maza anatapatapa tu na anazid kumuongezea umaarufu huyu dogo
Kwani ubunge kapewa na mam au jpm

Pole pole Ni ndumilakuwili Hana credibility yeyote sas hv
 
Sijui watu mmeichukuliaje hii issue ila kwa upande wangu naona maza ndo anamuogopa polepole kama alikuwa hamtaki angemtoa tu kwenye ukatibu uenez halaf angemkaushia

Hii ya kumpa ubunge Mara ubalozi naona maza anatapatapa tu na anazid kumuongezea umaarufu huyu dogo
Acha kukurupuka, ubunge aliteuliwa na magufuli
.
Pili angekua anamuogopa angemfunga kama alivyokua akifanya magufuli
 
Pale mwalimu wa shule ya uongozi anapopelekwa shule halisi ya uongozi akasomee uongozi.

Mama Samia kiboko yao.[emoji1][emoji1]
Angekuwa kiboko angeitumia ccm kumfuta uanachama na hapo angempoteza mazima ila hii aliyoifanya ni kumuongezea mwendo kwenye siasa!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maaana hiyo hii nayo ni habari? Ivi inawezekana mtu ateuliwe balozi wa nchi katika nchi fulani, kisha baada ya kuapa atimkie Malawi? Huo ni utamaduni uliopo, unadhani wanaenda enda tu kama Kariakoo?

Kuna Mchangiaji mmoja kasema mwenzetu ndo anaongeza CV kwaajili ya kesho yake, huo ndio ukweli mchungu. Nenda polepole kapige kazi.
 
Sijui watu mmeichukuliaje hii issue ila kwa upande wangu naona maza ndo anamuogopa polepole kama alikuwa hamtaki angemtoa tu kwenye ukatibu uenez halaf angemkaushia

Hii ya kumpa ubunge Mara ubalozi naona maza anatapatapa tu na anazid kumuongezea umaarufu huyu dogo
Anapewaje umaarufu wakati ni Mpinga Chanjo ya COVID-19? Unafikili atakanyaga Malawi bila COVID-19 Certificat

Tunaomba Picha zipigwe zikionesha jinsi Polepole anavyopata Chanjo ya COVID-19.Tuone Kama atagoma kuchanjwa.Vichwa tupu mnajazwa ujinga wa kutochanjwa akina Gwajiboy na Polepole wakati wao wana COVID-19 Certificate.
 
Back
Top Bottom