Tetesi: Balozi Prof Benson Bana (PhD) atajwa kuwa Boss ajaye UN

Tetesi: Balozi Prof Benson Bana (PhD) atajwa kuwa Boss ajaye UN

Katika kuendeleza diplomasia duniani. Mwanataaluma, Mheshimiwa Prof Balozi Benson Bana anatajwa kama Mkurugenzi Mkuu ajae wa Shirika la Umoja wa Mataifa - UNESCO.
He is not a scientist by the way. Inakuwaje akaongoze shirika la kisayansi UN? Utapeli huu.
 
Nani asiyekuibia ???

Kama vp kamfungulie kesi basi

Ova
Kuna tofauti ya kuiba ukathibitika na wezi hawa tunaodhani wanatuibia ingawa ushahidi hatuna elewa hivyo. Mama tibaijuka kila mtu anajua alipokea mgao wa fedha haramu za wizi hii imethibitika. Kesi simfungulii sina sababu ila na yeye asijitie mjuaji sana kumbe nae walewale tuu.
 
Ninatuma taarifa zake UN usiku huu huu ili waachane naye , huyu hafai kabisaaaa
Haya mambo ndiyo aliyo lalamikia Dada yako Tulia Speaker wa Bunge.
Tukienda kimataifa tunakuwa kitu kimoja.
Pesa atakayo ingiza huko itaingia kwenye mzunguko wa hapa nchini.
Anaweza kuipa kipaumbele miradi flani ya nchini kwake,n.k.
 
Itakuwa aibu kubwa sana !
Kwa nn watu wapumbavu kama wewe wanazidi kuongezeka?, ulikuwa ukiomba na kusali sana dkt tulia akson mwansasu asishinde,lkn akashinda kwa kishindo,pambana tena na kwa huyu,umwombe sana huyu mungu wako ili na yeye asiteuliwe. Wewe ni chizi na huyo mungu wako unaye mwombaga,ndio maana mungu wa kweli huwa hapokei hayo maombi yako ya kishenzi.
 
Back
Top Bottom