Balozi Sirro amshukuru Rais kwa kumuamini

Balozi Sirro amshukuru Rais kwa kumuamini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Subpost%203%20-%20BALOZI%20SIMON%20SIRRO%20AMSHUKURU%20RAIS%20SAMIA%20KWA%20KUMWAMINI_%20Mkuu%...jpg
Subpost%201%20-%20BALOZI%20SIMON%20SIRRO%20AMSHUKURU%20RAIS%20SAMIA%20KWA%20KUMWAMINI_%20Mkuu%...jpg

Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa, huko Muryaza Wilayani Butiama, alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

Chanzo: Azam TV
 
Sirro ataendelea kula stahiki za IGP mstaafu zote mpaka anaondoka duniani.

Ulinzi kwake ni 24 hrs kwa siku 7 za wiki, na mambo mengine kibao kama ndugai, kinachopungua ni kuonekana kwa TV tu
 
Sirro ataendelea kula stahiki za IGP mstaafu zote mpaka anaondoka dunian

Ulinzi kwake ni 24 hrs kwa siku 7 za wiki, na mambo mengine kibao kama ndugai, kinachopungua ni kuonekana kwa TV tu
humfahamu binadamu vizuri! ingekuwa hivyo Bakhressa angesema biashara basi kwa hela alizonazo anakula mpaka anakufa
 
Pozi lake hapo kanisani zuri, ila natamani ingetokea aambiwe na Samia kuna kazi ya "kuwashughulia" wapinzani mara moja akamsaidie nione kama hatakubali.

hiyo ni amri hawezi kataa.
 
View attachment 2302791View attachment 2302792

Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa , huko Muryaza Wilayani Butiama , alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

Chanzo : Azam TV
Hata huo ubalozi hukustahili, ila ni kama umetegwa ukiteleza kidogo huko tunakurudisha nyumbani haraka!
 
hiyo ni amri hawezi kataa.
Hii sio kweli ,amri ni LAZIMA iwe legal one,President akimwambia ua mke wake,Mr.Sirro atatekeleza hilo?,hizi nyumba za ibada vimegeuka kuwa vichaka vya watu ambao mikono yao ina damu za binadamu wenzetu, wapi Mr.Saanane?,Mr.Sirro came clean kwa hili, wapi huyu member mwenzetu alipo?
 
Sirro ataendelea kula stahiki za IGP mstaafu zote mpaka anaondoka dunian

Ulinzi kwake ni 24 hrs kwa siku 7 za wiki, na mambo mengine kibao kama ndugai, kinachopungua ni kuonekana kwa TV tu
Ulinzi 24 7 unamaana gani kama mwisho ataondoka?? Anaogopa nn mpaka ulinzi 24 7 wkt hawezi kuzuia hasiondoke??
Dictator J alilindwa 24 7 na mpaka na magari ya delaya lkn Mungu mkuu alimuona km mtu anayefanya mbwebwe tu humu duniani,
Nadhan kwa sasa kwa uharifu na uhuaji aloufanya yuko uko kolokoloni naye akinyea ndoo uku akiwa kuni za watesì wengine uko jehanamu
 
Ni kazi ile mkuu.Ina kiapo cha utii kwa Rais na nchi.Usimlaumu sana.Moyoni na yeye hapendi uonevu.Hatujazaliwa wakatili.Ni maisha,mazingira na ugali.😂😂😂😂
Polisi Tanzania sio wastaarabu hata reasoning hawana ,wakishavaa magwanda wanajiona juu ya Sheria na hawagusiki, yaani ni utumbo kabisa
 
Hivi kova na yeye ni balozi ama?
Kova kwani ashakuwa IGP?

unajua ukishakuwa IGP unajikuta tuvunajua Siri za hii nchi na mafaili yake yote. Ndio maana wanalindwa sana na kuendelea kula mema ya nchi.
 
daaah haya maisha bhana yan kama movie vile,,,
mara paap leo hii magufuli pamoja na vitisho vyake, tambo zake, mikwara yake lakn leo hii eti ashakuwa marehemu duh,,,,,,,,
Mara paaap hamphrey pole pole na tambo zake zote za kujirekodi na vieite lakn leo hii hayupo tena kwny cheo kile
Mara paaaap paul makonda na tambo zake za kutamka kwamba kati ya watu wanakula bata basi yy ni namba moja lakn leo hii hakuna hata redio mbao inayotamka jina lake
Mara paaap mtu aliyekua anavalia magwanda na kulindwa na polisi kulia na kushoto,, leo hii kawa balozi daaaah
Kweli cheo ni dhamana.
 
Back
Top Bottom