mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mkuu mambo ya kijeshi ni magumu sana,msione watu wanapewa pewa vi favour fulani mkadhani ni hivi hivi.Hii sio kweli ,amri ni LAZIMA iwe legal one,President akimwambia ua mke wake,Mr.Sirro atatekeleza hilo?,hizi nyumba za ibada vimegeuka kuwa vichaka vya watu ambao mikono yao ina damu za binadamu wenzetu, wapi Mr.Saanane?,Mr.Sirro came clean kwa hili, wapi huyu member mwenzetu alipo?
acha twende taratibu.
wewe ukiongea na rais mama samia,unaongea na rais wako uliyemchagua au aliyechaguliwa na wenzako.
ila sirro anaongea na boss wake,kinga yake kiutendaji,mshauri wake na msemaji wake wa mwisho.
wewe unadhani kuua mke ni amri ngumu hiyo??kuna watu wako vitani huko au oparesheni wanasubiri amri ya rais tu kuua kijiji kizima cha watu au kundi fulani la watu,akisema ndio wamekwenda.kwa sababu gani???maslahi ya wengine.
amri isiyo halali haitoki kwa rais,inatoka kwa watu na viongozi wengine.