Balozi (The Tz Hip Hop legend)

Dola Soul aliolewa na mama mmoja wa kizungu, akamchukua kwenda kuishi nae Marekani. Yule mama alikuwa anaitwa Miranda, alikuwa anapatikana sana Iringa. La sivyo saa hizi angekuwa anaimba mapambio CCM inogile kama John Komba.
...hater mpaka unaongelea marehemu!
..olewa na wewe
 
Albamu ya kwanza ya Sugu 1996 iliyoitwa NDANI YA BONGO Balozi DollaSoul alishirikishea kwenye wimbo uliobeba jina la albam NDANI YA BONGO

"Nipo ndani yabongo naendeleza hiphop
Wapo wanaoipenda na wapo wanaoiponda
kama hunipend ucckilize
Ni ni Dolla Soul kutoka Diplomatz nnachosema ruksa
Fanya unachotaka bongo uwazi
Naukweli c uongo ndani yabongo tumia ubongo au kila cku utakula mihogo....."

Jamaa ana bonge la style.Baadae style yake ilikuja kukopiwa na MC mmoja wa G Unit.Halafu kuna mtu anasema huyu jamaa hajui kuflow?Nani anajua kuflow?Roma Mkatoliki?
 
MC wa G Unit kwa sense ipi mkuu???
 


G Unit ya 50 Cent? Kama unasema hiyo nalog off.
 
G Unit ya 50 Cent? Kama unasema hiyo nalog off.
Log off kisha tafuta flow ya Balozi linganisha na flow ya Lloyd Banks kisha jiulize nani alianza muziki kabla ya mwenzake.
 
Duuu Lloyd banks...brother moja cool sana...unanikumbusha gorrila unit chini ya MTU mzima 50 cent

Log off kisha tafuta flow ya Balozi linganisha na flow ya Lloyd Banks kisha jiulize nani alianza muziki kabla ya mwenzake.
 
Ingawa wengine wanaitwa malegendary lakini MR 2, MR 11, MR TWO, SUGU, TOPROUD ni zaidi ya Legendary anastahili apigiwe mizinga 1000
 
Usimuoverrate, huwezi itwa legend kwa hit 1, ila nakiri kwa huo wimbo wake 'kwenye chat' ni moja ya nyimbo kali za rap kupata kutokea kwenye bongofleva
 
Kwenye Chati ndiyo wimb wake wa kwanza na wa mwisho...

Aliwahi sikika kwenye nyimbo kadhaa za Sugu kama
Dar es Salaam
Salam alhekum
Wewe unaijua album inayoitwa balozi wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…