Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
The Diplomatz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hater mpaka unaongelea marehemu!Dola Soul aliolewa na mama mmoja wa kizungu, akamchukua kwenda kuishi nae Marekani. Yule mama alikuwa anaitwa Miranda, alikuwa anapatikana sana Iringa. La sivyo saa hizi angekuwa anaimba mapambio CCM inogile kama John Komba.
...hater mpaka unaongelea marehemu!
..olewa na wewe
MC wa G Unit kwa sense ipi mkuu???Albamu ya kwanza ya Sugu 1996 iliyoitwa NDANI YA BONGO Balozi DollaSoul alishirikishea kwenye wimbo uliobeba jina la albam NDANI YA BONGO
"Nipo ndani yabongo naendeleza hiphop
Wapo wanaoipenda na wapo wanaoiponda
kama hunipend ucckilize
Ni ni Dolla Soul kutoka Diplomatz nnachosema ruksa
Fanya unachotaka bongo uwazi
Naukweli c uongo ndani yabongo tumia ubongo au kila cku utakula mihogo....."
Jamaa ana bonge la style.Baadae style yake ilikuja kukopiwa na MC mmoja wa G Unit.Halafu kuna mtu anasema huyu jamaa hajui kuflow?Nani anajua kuflow?Roma Mkatoliki?
FlowMC wa G Unit kwa sense ipi mkuu???
Albamu ya kwanza ya Sugu 1996 iliyoitwa NDANI YA BONGO Balozi DollaSoul alishirikishea kwenye wimbo uliobeba jina la albam NDANI YA BONGO
"Nipo ndani yabongo naendeleza hiphop
Wapo wanaoipenda na wapo wanaoiponda
kama hunipend ucckilize
Ni ni Dolla Soul kutoka Diplomatz nnachosema ruksa
Fanya unachotaka bongo uwazi
Naukweli c uongo ndani yabongo tumia ubongo au kila cku utakula mihogo....."
Jamaa ana bonge la style.Baadae style yake ilikuja kukopiwa na MC mmoja wa G Unit.Halafu kuna mtu anasema huyu jamaa hajui kuflow?Nani anajua kuflow?Roma Mkatoliki?
Log off kisha tafuta flow ya Balozi linganisha na flow ya Lloyd Banks kisha jiulize nani alianza muziki kabla ya mwenzake.G Unit ya 50 Cent? Kama unasema hiyo nalog off.
unaumwa weweLog off kisha tafuta flow ya Balozi linganisha na flow ya Lloyd Banks kisha jiulize nani alianza muziki kabla ya mwenzake.
Log off kisha tafuta flow ya Balozi linganisha na flow ya Lloyd Banks kisha jiulize nani alianza muziki kabla ya mwenzake.
Huyu jamaa yupo New York hivi sasa..
Huyu jamaa yupo New York hivi sasa..
Ni Sawa mkuu.Bonge la pointiunaumwa wewe
mmmh....haya>Flow
Wewe unaijua album inayoitwa balozi wenu?Kwenye Chati ndiyo wimb wake wa kwanza na wa mwisho...
Aliwahi sikika kwenye nyimbo kadhaa za Sugu kama
Dar es Salaam
Salam alhekum
Usimuoverrate, huwezi itwa legend kwa hit 1, ila nakiri kwa huo wimbo wake 'kwenye chat' ni moja ya nyimbo kali za rap kupata kutokea kwenye bongofleva