Hebu mtoe Did Q hapo muweke sogdogTatizo watu wa zamani wanapenda kuona vitu vyao bora hata kama vilikuwa vibovu...
Ila kiukweli Balozi alikuwa Rapper wa kawaida tu ila ule ukaribu wake na Kina Sugu ulimbeba mjini ila kiuwezo Balozi afiki hata nusu ya Nikki Mbishi au Songa.
Hata enzi zile achana hakuwa Best kati ya wale waliokuwepo pamoja nae.
Ni msanii wa kawaida tu ila kumwita legend Ni kuikosea Hip Hop kama Balozi unamwita Legend na Profesa Jay,Sugu au Fid Q unamwita nani?!
Ni legendary kwa sababu ni miongoni mwa waanzilishi wa harakati za muziki wa hiphop bongo.Tatizo watu wa zamani wanapenda kuona vitu vyao bora hata kama vilikuwa vibovu...
Ila kiukweli Balozi alikuwa Rapper wa kawaida tu ila ule ukaribu wake na Kina Sugu ulimbeba mjini ila kiuwezo Balozi afiki hata nusu ya Nikki Mbishi au Songa.
Hata enzi zile achana hakuwa Best kati ya wale waliokuwepo pamoja nae.
Ni msanii wa kawaida tu ila kumwita legend Ni kuikosea Hip Hop kama Balozi unamwita Legend na Profesa Jay,Sugu au Fid Q unamwita nani?!
Balozi anajua ww ulimckiliza kiuwogaTatizo watu wa zamani wanapenda kuona vitu vyao bora hata kama vilikuwa vibovu...
Ila kiukweli Balozi alikuwa Rapper wa kawaida tu ila ule ukaribu wake na Kina Sugu ulimbeba mjini ila kiuwezo Balozi afiki hata nusu ya Nikki Mbishi au Songa.
Hata enzi zile achana hakuwa Best kati ya wale waliokuwepo pamoja nae.
Ni msanii wa kawaida tu ila kumwita legend Ni kuikosea Hip Hop kama Balozi unamwita Legend na Profesa Jay,Sugu au Fid Q unamwita nani?!
Kujua najua anajua ila sio kwa ubora ule wa kuitwa legend na kupewa sifa kedekede jamaa alikuwa Average Rapper tu kama unabisha nipe Hit Song 2 za Balozi ukitoa "Balozi bado Nipo"Balozi anajua ww ulimckiliza kiuwoga
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kuhusu harakati na kuanza zamani siwezi kupinga maana hiyo Zamani hata Kr Mulla alionekana mkali.Ni legendary kwa sababu ni miongoni mwa waanzilishi wa harakati za muziki wa hiphop bongo.
N i legendary kwa sababu ni kati ya wasanii kumi (10) wa mwanzoni kabisa kupeleka albam sokoni both as a solo and with his crew The Diplomatz.
Ni legendary kwa sababu baada ya harakati zilizoasisiwa nao,leo watu wanatengeneza mabilioni kwenye muziki.
Katika ma MC wa sasa ninavutiwa zaidi na Nick Mbishi.So kama namuona Nick ni bora maana yake ninamuona Legend kwa mtazamo wako?Kuhusu harakati na kuanza zamani siwezi kupinga maana hiyo Zamani hata Kr Mulla alionekana mkali.
Ila ukizungumzia ubora Balozi alikuwa na ubora wa kawaida tu ambao haumfanyi awe Legend.
Labda uniambie nyimbo 3 hit songs kutoka kwenye hiyo habari yake unayoisifia