mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Tatizo watu wa zamani wanapenda kuona vitu vyao bora hata kama vilikuwa vibovu...
Ila kiukweli Balozi alikuwa Rapper wa kawaida tu ila ule ukaribu wake na Kina Sugu ulimbeba mjini ila kiuwezo Balozi afiki hata nusu ya Nikki Mbishi au Songa.
Hata enzi zile achana hakuwa Best kati ya wale waliokuwepo pamoja nae.
Ni msanii wa kawaida tu ila kumwita legend Ni kuikosea Hip Hop kama Balozi unamwita Legend na Profesa Jay,Sugu au Fid Q unamwita nani?!