Balozi wa Denmark nchini Tanzania atembelea JamiiForums

Balozi wa Denmark nchini Tanzania atembelea JamiiForums

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Balozi Mette Norgaard Spandet jana 23/03/2022, alifika kwenye ofisi za JF Jjijini Dar es Salaam na kukutana na viongozi na wafanyakazi kwa lengo la kujionea namna mtandao huo unavyofanya kazi.

Ambako alikutana pia na Mkurugenzi wa JamiiForums na kubadilishana naye mawazo.

BALOZI_WA_DENMARK_AITEMBELEA_JAMIIFORUMS%0A-%0ABalozi_wa_%23Denmark_Nchini_Tanzania%2C_Mette_N...jpg
 
Ni jambo jema.

Vipi, uamuzi wa kufunga ubalozi wao ifikapo 2024, upo pale pale au wamaeghairi?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Balozi Mette Norgaard Spandet jana 23/03/2022, alifika kwenye ofisi za JF Jjijini Dar es Salaam na kukutana na viongozi na wafanyakazi kwa lengo la kujionea namna mtandao huo unavyofanya kazi.

Ambako alikutana pia na Mkurugenzi wa JamiiForums na kubadilishana naye mawazo.

View attachment 2162933
Bado JamiiForums imekuwa sehemu muhimu na salama sana kwetu wengine kupumulia...
La sivyo tungeisha potezwa siku nyingi!
 
Mtandao mkubwa, kimbilio la wengi wenye uelewa wa umuhimu wa habari zote zinazochambuliwa kwa kina ziwe za siasa, kijamii, uchumi, burudani, mahusiano ya kimataifa, michezo, tamaduni, ulozi n.k

Bila kusahau JF pia inafaa kuitwa ni maktaba ya wazi kwa ajili ya kufanya marejeo ya mamia na maelfu ya matukio yote muhimu yaliyotokea nyumbani na kimataifa.
 
kaenda kuangalia uzi wa kuliwa kima sihara kwanini wabongo wameupenda zaidi ya mambo muhimu hawajali hata katiba mpya yaani
 
Lakin mi uwa najiuliza kwanini kama taifa tusijaribu kuifanya jf uwe mtandao mkubwa serikali iunge mkono na kuisupport hata rais awe na account hapa analeta mada tunajadili kama nchi zingne zilivyoifanya Twitter ikawe kubwa duniani?nawaza tu na najiuliza tu.VIvA JF viva go go go[emoji3589]
 
Wakiingia hao unaowata ndio siku JF itakuwa kama TTCL
 
Back
Top Bottom