Balozi wa Denmark nchini Tanzania atembelea JamiiForums

Mabalozi wa wenzetu wako simple kichizi, sio kama slaa, badala ya kuiwakilisha nchi, kaenda kuwakilisha chama
 
Serikali ikishaweka mkono wake, sahau "a place where we dare to talk openly"
 
Unajuaje kama hana??
 
Ni jambo zuri sana,, hii platform ingepewa kipaumbele hakika watanzania wangekuwa wanafanya mijadala ya kutosha humu na ingeweza kubakia kama kumbukumbu..

Ila sasa ndio hvo humu huwezi weka picha unakula chipsi CapeTown fish market wala wadada kujipiga trako.. humu ni discussion mwanzo mwisho.

Hongera kwa Maxence Melo
 
Jf kutembelewa na watu wakubwa hivi ujue wameikubali.Waafrika tuna uwezo tatizo sijui tunakwama wapi.
 
Ni jambo jema sana na inatia moyo,pia wangejadili na suala la kupigwa ban kisa mtu katoa mawazo yake na watendaji hawajafurahishwa mtu analimwa ban
 
Hajaisifia chadema?
 
Wagilimayo kabyazi omshaija enkaka
 
Ila Mello ni handsome jomoneee, awww yuko very yummy, [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Nakusalimu malkia... Tujiandae kwa zama mpya za utawala wa kikomunisti duniani

Mabeberu wameshashindwa mchezoni
Salamu zimefika, aah sidhani kama hilo litafikia huko! Mi naona propaganda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…