Tony254, njoo huku ujibu hoja za huyu mtu mweupe, aliposema Muthama kwamba Kenya lazima ijifunze toka Tanzania, hamkutaka kumsikiliza kwasababu ni ngozi nyeusi, huyu mweupe amerudia Yale Yale ya Muthama, kwasababu Kenya MTU mweupe ni zaidi ya MUNGU kwenu, ninadhani mtatekeleza.