Balozi wa Israel nchini Kenya adai Kenya inaongozwa na magenge ya wahuni, aipongeza Tanzania

Balozi wa Israel nchini Kenya adai Kenya inaongozwa na magenge ya wahuni, aipongeza Tanzania

Mk 254 atapinga vikali kwa Google uchwara
tapatalk_1567647802020.gif
 
Tony254, njoo huku ujibu hoja za huyu mtu mweupe, aliposema Muthama kwamba Kenya lazima ijifunze toka Tanzania, hamkutaka kumsikiliza kwasababu ni ngozi nyeusi, huyu mweupe amerudia Yale Yale ya Muthama, kwasababu Kenya MTU mweupe ni zaidi ya MUNGU kwenu, ninadhani mtatekeleza.
 
Back
Top Bottom