Balozi wa Kenya na Marekani waitwe Ikulu kujieleza. Kwanini wanaruhusu raia wao mwanajeshi kuleta silaha za kivita nchini

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Hili sio suala dogo hata kidogo.

Nauza kangala na pombe kali za bei rahisi kama Kigogo na Ambiance lakini nimeogopa.

Mwanajeshi raia wa Kenya na Usa anakuja na maguruneti nchini kwetu ili iweje? Kwa nini Kenya na Usa wasimdhibiti kwa ukaguzi na kwa nini aje Tanzania?

Wao hawana taarifa juu yake kuwa anakuja Tanzania?
 
FUTUHI za Jeshi letu
sirromo-pic (1).jpg
 
Hili sio suala dogo hata kidogo.

Nauza kangala na pombe kali za bei rahisi kama Kigogo na Ambiance lakini nimeogopa.

Mwanajeshi raia wa Kenya na Usa anakuja na maguruneti nchini kwetu ili iweje? Kwa nini Kenya na Usa wasimdhibiti kwa ukaguzi na kwa nini aje Tanzania?

Wao hawana taarifa juu yake kuwa anakuja Tanzania?
Sio kazi yao hiyo, mbona watanzania wanadakwa na madawa nchi zingine? Umeshaona balozi zinaitwa?

Kuna mambo ni ya mtu mwenyewe si balozi.
 
Eti huyu ndiye mtuhumiwa ...jeshi la polisi Kwa kupenda sifa waache kumpiga picha akiwa na boksa wanapiga picha akiwa na suti
TANZANIA kuna kila Aina ya vichaa hivi hawa polisi hakuna MTU mwingine mwenye Akili ya kuandaa sinema nyingine
20251117_145446.jpg
 
Hili sio suala dogo hata kidogo.

Nauza kangala na pombe kali za bei rahisi kama Kigogo na Ambiance lakini nimeogopa.

Mwanajeshi raia wa Kenya na Usa anakuja na maguruneti nchini kwetu ili iweje? Kwa nini Kenya na Usa wasimdhibiti kwa ukaguzi na kwa nini aje Tanzania?

Wao hawana taarifa juu yake kuwa anakuja Tanzania?
Kwani Mange Kimambi hajakamatwa bado na mwanasheria mkuu?
 
Hili sio suala dogo hata kidogo.

Nauza kangala na pombe kali za bei rahisi kama Kigogo na Ambiance lakini nimeogopa.

Mwanajeshi raia wa Kenya na Usa anakuja na maguruneti nchini kwetu ili iweje? Kwa nini Kenya na Usa wasimdhibiti kwa ukaguzi na kwa nini aje Tanzania?

Wao hawana taarifa juu yake kuwa anakuja Tanzania?
Acha uchochezi ndugu Mkata uzi mambo yote sii kuingiza siasa kwani yenyewe ni utapeli.
 
Hili sio suala dogo hata kidogo.

Nauza kangala na pombe kali za bei rahisi kama Kigogo na Ambiance lakini nimeogopa.

Mwanajeshi raia wa Kenya na Usa anakuja na maguruneti nchini kwetu ili iweje? Kwa nini Kenya na Usa wasimdhibiti kwa ukaguzi na kwa nini aje Tanzania?

Wao hawana taarifa juu yake kuwa anakuja Tanzania?
Walio uwa watanzania wenzetu 29 wanahojiwa na nanii???
 
Back
Top Bottom