Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani ahudhuria hafla ya kumuapisha Rais Magufuli Dodoma, asema ni ishara kuwa uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi mbili hautetereki

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani ahudhuria hafla ya kumuapisha Rais Magufuli Dodoma, asema ni ishara kuwa uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi mbili hautetereki

Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji, huyo balozi aache kutumika na chadema,! Wansanchi tushaamua chandimu kuipiga chini!
 
CDM bwana mafisadi wakiwa kwao wanawabadilisha jina, anakuwa mbeba-maono (Mr PM Mstaafu), hiki chama kina watu wanaobadilika-badilika sana kuliko kasi ya mmeto wa indiketa. Nani atawaamini basi???
uovyo ovyo wenu hata mtoto wa darasa la tatu anaujua in and out
dunia inaenda kwa kasi punguzeni ushamba ushamba, muwe smart kidogo
 
ccm bwana mabeberu wakiwa kwao wanabadilishwa jina, anakuwa mwekezaji,

hiki chama kina watu wa hovyo hovyo sana
Hakuna WA hovyo Kama waliosema tunaomtunainia Mungu kupapambana na corona ni "Idiots"
 
Maana yake ni kwamba kwa USA Uchaguzi ulikuwa halali na inamtambua Raisi Magufuli kama Raisi wa JMTZ 2020/25, nyingine zoote porojo, masikini tundu hela zote chadema wamezimalizia kumlipa kaburu Amsterdam, ...
 
Itoshe Tu kusema kuwa mleta mada hajaelewa alichoongea balozi wa USA... namshauri atafute mkalimani amsomee hiyo tweet

USA inamtambua Raisi Magufuli kama Raisi wa JMTZ 2020/25, ndiyo maana ya Serikali ya USA kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi wa JMTZ, ...
 
Mtu wewe, hivi umeelewa kweli MAUDHUI ya hiyo kauli ya balozi?

Kitendo cha Balozi wa USA kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi wa JMTZ 2020/25 maana yake ni kwamba, USA inatambua Uchaguzi kuwa halali na Magufuli ni Raisi halali wa JMTZ 2020/25, hakuna zaidi ya hapo!
 
Jamaa amejua jinsi ya kucheza karata, Kwani kuitema uranium ni jambo dogo! Anajua wakichezea moto uranium itaenda China au Russia.
 
Kitendo cha Balozi wa USA kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi wa JMTZ 2020/25 maana yake ni kwamba, USA inatambua Uchaguzi kuwa halali na Magufuli ni Raisi halali wa JMTZ 2020/25, hakuna zaidi ya hapo!

Hivi mna vichwa vya namna gani? Mbona kasema wazi kwenye kauli yake kuhusu msimamo wake?
 
Hivi mna vichwa vya namna gani? Mbona kasema wazi kwenye kauli yake kuhusu msimamo wake?

Hilo swali inabidi ulijibu wewe labda, Serikali ya USA imealikwa kwenye shughuli ya kuapishwa kwa Raisi wa JMTZ na USA imekubali mwaliko na kuhudhuria, maana yake ni kwamba serikali ya USA inatambua kwamba Raisi wa JMTZ 2020/25 ni Pombe Magufuli (PhD), hayo mengine yoote yanazungumzika, na wala siyo ishu, na haijalishi kaposti nini twira au sijui facebook, kitendo cha yeye kuhudhuria ni action, kitendo cha yeye kupost maandishi ni maneno matupu, nafikiri unatambua tofauti hapo kati ya action na maneno, ...
 
Hilo swali inabidi ulijibu wewe labda, Serikali ya USA imealikwa kwenye shughuli ya kuapishwa kwa Raisi wa JMTZ na USA imekubali mwaliko na kuhudhuria, maana yake ni kwamba serikali ya USA inatambua kwamba Raisi wa JMTZ 2020/25 ni Pombe Magufuli (PhD) , hayo mengine yoote yanazungumzika, na wala siyo ishu, na haijalishi kaposti nini twira au sijui facebook, kitendo cha yeye kuhudhuria ni action, kitendo cha yeye kupost maandishi ni maneno matupu, nafikiri unatambua tofauti hapo kati ya action na maneno, ...

Yeye kasema wazi ni mahusiano ya "nchi" (Amerika + Tanzania) . hakutaja chochote kuhusu "serikali" (si ya Tz wala ya USA) sembuse kumtaja "Raisi"! Hii ikusaidie kufungua macho kwamba kwenye hili hatua zozote watakazo chukua watashughulika na "individuals" na sio "nchi"! Usishangae kesho au kesho kutwa "Raisi wa JMT" na waandamizi wake wakafutiwa vibali vya kukanyaga USA na chi washirika wake! Stay tuned!
 
Yeye kasema wazi ni mahusiano ya "nchi" (Amerika + Tanzania) . hakutaja chochote kuhusu "serikali" (si ya Tz wala ya USA) sembuse kumtaja "Raisi"! Hii ikusaidie kufungua macho kwamba kwenye hili hatua zozote watakazo chukua watashughulika na "individuals" na sio "nchi"! Usishangae kesho au kesho kutwa "Raisi wa JMT" na waandamizi wake wakafutiwa vibali vya kukanyaga USA na chi washirika wake! Stay tuned!

Nimeshakwambia ni lazima ujifunze kutofautisha kati ya action na maneno, siku zote usisikilize maneno angalia actions, unafikiri Balozi wa USA Venezuela anaweza kuhudhuria kuapishwa kwa Maduro ambaye USA haimtambui kama mshindi wa Uraisi? Serikali ya USA haiuwezi kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi wa nchi ambaye haimtambui kama ni Raisi halali wa nchi hiyo.

Hivyo angalia action na siyo kusikiliza maneno, ninyi mnalishwa maneno na huyo Balozi lkn vitendo vyake ni tofauti, gat it ?
 
Kidiplomasia nikwamba USA anamtambua Magufuli kama rais halali wa Tanzania na ndio maana balozi wake amehudhuria shughuli ya kuapishwa kwake.
USA wanamaslahi ya kudumu hawana rafiki hata siku moja. Hawawezi kufanya urafiki na kikundi kinachokosa ushawishi maana wanajua itakua ni hasara kwao.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshakwambia ni lazima ujifunze kutofautisha kati ya action na maneno, siku zote usisikilize maneno angalia actions, unafikiri Balozi wa USA Venezuela anaweza kuhudhuria kuapishwa kwa Maduro ambaye USA haimtambui kama mshindi wa Uraisi? Seriklai ya USA haiuwezi kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi wa nchi ambaye haimtambui kama ni Raisi halali wa nchi hiyo.

Hivyo angalia action na siyo kusikiliza maneno, ninyi mnalishwa maneno na huyo Balozi lkn vitendo vyake ni tofauti, gat it ?

Hawa watu ni "diplomats" na sio "makada" kama sisi tufanyavyo! Kila neno analo andika lina maana sana! Ni kwa mantiki hiyo kaweka bayana kwamba "ushiriki" wake usipewe tafsiri kuwa anakubaliana na hicho kilicho pelekea shughuli ya leo ikawepo.

Bado machinery zao zinaendelea kuchimbua kujua nani alishiriki nini na wapi! Kuwa mpole usubirie matokeo kabla ya kuendekeza ushabiki wa kikada.
 
Hawa watu ni "diplomats" na sio "makada" kama sisi tufanyavyo! Kila neno analo andika lina maana sana! Ni kwa mantiki hiyo kaweka bayana kwamba "ushiriki" wake usipewe tafsiri kuwa anakubaliana na hicho kilicho pelekea shughuli ya leo ikawepo. Bado machinery zao zinaendelea kuchimbua kujua nani alishiriki nini na wapi! Kuwa mpole usubirie matokeo kabla ya kuendekeza ushabiki wa kikada.

Bado hauelewi tu? Serikali ya USA haiwezi kuhudhuria kuapishwa kwa Raisi isiyemtambua, ipi ngumu kwako kuelewa? Kitendo cha USA kuhudhuria maana yake Uongozi ulioapishwa una baraka zote za USA, sasa hayo mengine yanajadilika ndiyo maana yake, mnaweza mkajadili kuhusu demokrasia na mengineyo lkn Raisi wa JMTZ kwa sasa anatambulika kama Pombe Magufuli (PhD), ...
 
Back
Top Bottom