Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
ibirisi wa ccm wakiona hivi vichwa huwauma sanaKaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu
Elimu Mdogo husababisha mtu kukosa mbinu Bora za uongozi na kuamini rushwa na ubabe ndio njia zifaazo. Hivyo Mwaka huu angalia uwezo wa mgombea iwe wa sisiemu au Vyama mbadalaKaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu
Wakijaribu hilo, ni ku ruin international relation na US, unamtimua sababu kakemea utekaji?Kuna taarifa kutimua balozi kwa mtindo huu ccm unapoelekea
Kwa mtindo ulipofikia wanahisi wakiwa na nchi nyengine sawa sio wanaokemeaWakijaribu hilo, ni ku ruin international relation na US, unamtimua sababu kakemea utekaji?
Retaliation ya US, kwa huyu rais walienae sasa inaweza isiwe nzuri kwa tz
Huwezi kumtimua Balozi wa USA kama unatimua balozi wa Burundi hizo ni story za vijiweni haiwezekani kabisaKuna taarifa kutimua balozi kwa mtindo huu ccm unapoelekea
Hivi haya machizi ya CCM yalivyo kwa sasa wanajiona wapo na wachina sasaHuwezi kumtimua Balozi wa USA kama unatimua balozi wa Burundi hizo ni story za vijiweni haiwezekani kabisa
Hawawezi Kajaribu huo ni moto mkaliHivi haya machizi ya CCM yalivyo kwa sasa wanajiona wapo na wachina sasa
Hivi Marekani kuvamia Iraq na Libya kumbe ilikua sawaKaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu
Hivi hao hao Marekani ndiyo walivamia Libya na kumuua kiongozi wetu mpendwa Mummar Gaddaf?Hivi haya machizi ya CCM yalivyo kwa sasa wanajiona wapo na wachina sasa
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano,
Panazidi kuchangamka
bilashaka balozi atakua amempa pole na amemshauri apunguze kilevi na kuacha ngono na wake za waamini wake. afocus kwenye kuhubiri neno la Mungu, siasa zinamchanganya 🐒Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.
View attachment 3358818
Ungekuwa unaishi Libya usingekuwa unakurupukia mada.Hivi hao hao Marekani ndiyo walivamia Libya na kumuua kiongozi wetu mpendwa Mummar Gaddaf?
umtimue balozi wa marekani si utajitakia makubwa? Wana rais wao muongeaji, anaweza akaongea shombo kuhusu tanzania tukaishia kucheka kwa dharau zake. Usicheze na balozi wa marekaniKuna taarifa kutimua balozi kwa mtindo huu ccm unapoelekea
Hivi Marekani kuvamia Iraq na Libya kumbe ilikua sawa
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.
View attachment 3358818