Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

ila huyo demu dadeki bonge la figa, hivi kwa nini mademu wa kibongo hawanaga shepu kali kama hizo? unakuta demu bongo kabinuuka nyuma mbele nako tumbo limefura, kiuno hakionekani …
Wewe 'Kijakazi' wacha hayo bhwanaah! Umenifanya nicheke kwelikweli!

Hebu siku moja kawatembelee huko kwa huyo uliyemsifia, ukajionee mwenyewe!
 
Unawakaribisha waje wavamie na hapa? Kwa maoni yangu, kwa hali tuliyo nayo hilo lingependeza sana.

Lakini nikuhakikishie, hawana haja ya kufanya hivyo hapa. Kazi ya kuwafurumusha hawa machizi wetu ni yetu sisi wenyewe; na tutaifanya kwa ufanisi mkubwa safari hii.
Kweli kabisa tuwakatae hawa wanaotaka kuleta uasi,uhaini na sera za ushoga kabisa.
 
Ungekuwa unaishi Libya usingekuwa unakurupukia mada.
Rudi ukasome ushenzi wa gaddaf alafu tuje kwenye mada
Leo mnamkana daah.. lakini ata DR.SLAA mlimkana na kumita Dr.Mihogo
 
Kweli kabisa tuwakatae hawa wanaotaka kuleta uasi,uhaini na sera za ushoga kabisa.
Wa kwanza kuwakataa ni Samia Suluhu Hassan na Genge lake; hawa ni lazima tuwashughulikie sisi wenyewe hapa hapa.
 
Wa kwanza kuwakataa ni Samia Suluhu Hassan na Genge lake; hawa ni lazima tuwashughulikie sisi wenyewe hapa hapa.
Mbona sisi tupo mtaani huku wewe uonekani sasa..huu ni usalaiti na woga
 
Mbona sisi tupo mtaani huku wewe uonekani sasa..huu ni usalaiti na woga
Kwani hunioni hapo jirani yako tu, au unataka njiivishe lebo ili uje uniteke na hata kuniua?
Mimi sihitaji kukuua wewe, nataka uwajibishwe na sheria zilizopo kwa maovu unayowafanyia waTanzania wakati huu. Hilo linakuja, jiandae tu.
 
Kamanda unatusaliti hivi hivi kweli? Sawa bhana. Eti mahakama imesema tusifanye chochote...ya kweli hayo?
 
Kamanda unatusaliti hivi hivi kweli? Sawa bhana. Eti mahakama imesema tusifanye chochote...ya kweli hayo?
Nishamalizana na wewe, na najuwa umeelewa nilicholenga kukufahamisha.
 
Back
Top Bottom