Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

We jamaa una sources nyingi.....lifupi ni mwingi wa habari
 
Pole sana father

ILA ukweli unahitajika

Je father alipigwa kisiasa?

Ni 100% Fr Kitima al8shambulia na kikuni cha ikulu. Wanajulikana hata kwa majina waliohusika. Na walifanya hivyo baada ya Bashungwa kuwaelekeza kuwa Fr. Kitima lazima adhibitiwe.
 
bilashaka balozi atakua amempa pole na amemshauri apunguze kilevi na kuacha ngono na wake za waamini wake. afocus kwenye kuhubiri neno la Mungu, siasa zinamchanganya 🐒
Wahamasishaji wenu hawa

Ova
 

Attachments

  • VID_20250607_030240_932.mp4
    12.5 MB
Ni 100% Fr Kitima al8shambulia na kikuni cha ikulu. Wanajulikana hata kwa majina waliohusika. Na walifanya hivyo baada ya Bashungwa kuwaelekeza kuwa Fr. Kitima lazima adhibitiwe.
Wow

Kwahiyo bashungwa ndiye kinara wa ile kazi?😳😳😳😳

Kweli? Is he that powerful?
 
Swali lako nadhani ndio swali la kijinga zaidi hapa Jf kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita
Dada… wewe ni hollow

Yaani tupu, nothing, absent etc

Huna kabisa akili ya kujua chochote

You are worse than nyumbu

Huwezi kabisa kuelewa swali langu

Wanaojua his role kule st Augustine☺, Bugando, na taasisi nyingine za katoliki wataongea

He listens to himself and speaks to himself on the mirror, with very limited humility when it comes to learn from others

He has so many victims

Bitch please
 
Wow

Kwahiyo bashungwa ndiye kinara wa ile kazi?😳😳😳😳

Kweli? Is he that powerful?
Waziri wa mambo ya ndani ndio boss wa mapolisi wote nchini, na inajulikana wazi watekaji na wauaji ni mapolisi na CCM
 
Hivi Marekani kuvamia Iraq na Libya kumbe ilikua sawa
Unawakaribisha waje wavamie na hapa? Kwa maoni yangu, kwa hali tuliyo nayo hilo lingependeza sana.

Lakini nikuhakikishie, hawana haja ya kufanya hivyo hapa. Kazi ya kuwafurumusha hawa machizi wetu ni yetu sisi wenyewe; na tutaifanya kwa ufanisi mkubwa safari hii.
 
kwani nani alikwambia haikuwa sawa?
Usiombee ya aina hiyo kuikumba nchi, mkuu 'Kijakazi'.
Nchi kama Iraq ilikuwa inapiga hatua nzuri sana kimaendeleo; pamoja na vita nyingi alizozisababisha Saddam.

Lakini iangalie Iraq tena wakati huu!
Hali ni kama hiyo hiyo huko Libya.
Nchi inapovurugwa kama hizi zilivyo vurugika, ni kazi kubwa sana kuzirudisha kwenye mstari mzuri wa maendeleo.

Sisi hapa tunaelekea kuvurugwa na hii CCM ya Samia Suluhu Hassan, kupitia kwenye Genge lake maalum. Unaiona Congo ya DRC, au Sudan zinavyokwenda?

Tuombe sana waTanzania walitambue hili vizuri, na tuweze kukomesha hili Genge bila ya mvuragano kama wa nchi hizo nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…