Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

Beberu anajua kuzichanga.

Amesifia ili kurahisisha mazungumzo Fulani huko vyumbani.

"Ukiona unasifiawa na asiyekutakia mema ujue umekisea" jpm.
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni

Kupitia ukurasa wake binafsi wa X, Michael Battle ameandika:

"Train from Dar to Dodoma. I have taken trains on four continents and am proud to say that Tanzania provides an exceptional train experience. The train left the station precisely on time, the ride was comfortable and the hospitality and professionalism of the staff was superb."

"Mpuuz," naye amekuwa chawa sijui, kwahiyo ni nzuri kuliko ya Sweden, Norway, Finland and the like
 
Balozi karahisisha kampeni

Pale Mbeya Mjini Dr Tulia PhD Mitano Tena 😂😂😂😂😂🌹🌹🌹
Mbowe ndio kafanya kabisa ,mama samia apite kiulaini sana kama kumsukuma mlevi wa gongo.
 
ndio mjue tulikuwa mbele ya muda, dunia haijawahi kuona 100% black country with 100% black people ndani ya fast electric train, ndo maana wakatuchezea rafu dadadeki, lkn tutaibuka tena kama phoenix inshaalah, spirit bado ipo …
Hawajatuchezea rafu, rafu tumejichezea wenyewe.
This time lawama ziende kwetu, si kumbebesha mzungu kila matatizo
 
Kuna pahala tumekosea turudi tukaangalie tumekosea wapi. Huwa hawana jema nasi hawa ukiona anakusifia kuna shida pahala
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni

Kupitia ukurasa wake binafsi wa X, Michael Battle ameandika:

"Train from Dar to Dodoma. I have taken trains on four continents and am proud to say that Tanzania provides an exceptional train experience. The train left the station precisely on time, the ride was comfortable and the hospitality and professionalism of the staff was superb."

Balozi anajua Hana chake Trump anaapishwa rasmi 20 January 2025, hizo ni kauli za kuaga sababu hayupo tena kwenye mfumo mpaka utawala wa Trump uishe
 
Bora Mods mmeondoa hii aibu ya hawa wachawa. Eti treni ya Magufuli, alitoa pesa ngapi
 
Back
Top Bottom