Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

Beberu anajua kuzichanga.

Amesifia ili kurahisisha mazungumzo Fulani huko vyumbani.


"Ukiona unasifiawa na asiyekutakia mema ujue umekisea" jpm.
 
"Mpuuz," naye amekuwa chawa sijui, kwahiyo ni nzuri kuliko ya Sweden, Norway, Finland and the like
 
Balozi karahisisha kampeni

Pale Mbeya Mjini Dr Tulia PhD Mitano Tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉ
Mbowe ndio kafanya kabisa ,mama samia apite kiulaini sana kama kumsukuma mlevi wa gongo.
 
ndio mjue tulikuwa mbele ya muda, dunia haijawahi kuona 100% black country with 100% black people ndani ya fast electric train, ndo maana wakatuchezea rafu dadadeki, lkn tutaibuka tena kama phoenix inshaalah, spirit bado ipo …
Hawajatuchezea rafu, rafu tumejichezea wenyewe.
This time lawama ziende kwetu, si kumbebesha mzungu kila matatizo
 
Ajasema unayosema, labda kama hujui kingereza!
 
Kuna pahala tumekosea turudi tukaangalie tumekosea wapi. Huwa hawana jema nasi hawa ukiona anakusifia kuna shida pahala
 
Balozi anajua Hana chake Trump anaapishwa rasmi 20 January 2025, hizo ni kauli za kuaga sababu hayupo tena kwenye mfumo mpaka utawala wa Trump uishe
 
Bora Mods mmeondoa hii aibu ya hawa wachawa. Eti treni ya Magufuli, alitoa pesa ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…