Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

Umeme hauja katk this time
 
Wakati anayasema hayo maneno amebubujikwa na machozi ya furaha?

Kama hajabubujikwa na machozi ya furaha huyo ametupanga tu,au nasema uongo kipenzi Cha mama ? Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…