08 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa na mtangazaji nguli Salim Kikeke wa Crown Media ya Tanzania.
Balozi huyo anayewakilisha maslahi ya nchi yake na pia misaada inayotokana na kodi walizolipa watu wa Marekani kugharamia miradi kibao nchini hivyo Marekani kuwa mdau mshirika wa maendeleo ya Tanzania ...
Miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma almaarufu PPP ni muhimu kwa Tanzania ...
Pia Marekani kwa kipindi cha miaka 20 sasa imefadhili kiasi cha dollar 7.5 bilioni kama gift (zawadi) bila deni kwa Tanzania , pia kiasi cha fedha za kigeni 350 milioni dollars moja kwa moja kwa CRDB Bank to talk more risk kmahsusi kwa vijana
Balozi Dr. Michael Anthony Battle, Sr. anatiririka na kufunguka mengi ...Julius Nyerere pia alikubali ujamaa na kujitegemea uèndane na maendeleo ya mtu mmoja mmoja kuendesha biashara na shughuli za kiuchumi ..