Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani

D2D01189-26A4-4393-AFE9-0913D2226F10.jpeg
 
Si ameandika tu uko tweeter,kuandika awajaanza leo,wino upo wakutosha acha waandike tu.ila ukweli utabaki palepale mzee Sief awezikuwa Rais wa Zanzibar hata iweje.
Wewe, awe Rais au asiwe Rais unafaidika na kupoteza nini ?!. Huyo Seif amewahi kushika vyeo huko Ccm, ambavyo wewe na umbumbumbu wako huwezi kuzishika .
 
Kwa mwenye akili

Ni bora na salama kwa ww kuridhika na Ugali unao upata kila siku...
Ipo wapi?

Acheni Propaganda za amani. Nchi zaidi ya 50 za Africa karibu zote zina amani na watu wanakaa kwa utulivu. Msitusimangie amani as if dunia nzima ipo vitani.

Nchi za Africa ya kaskazini zilikuwa hivi hivi tulivu hadi vijana walipoamua kufanya mabadiliko kwa nguvu ndio wakajua kumbe walikuwa wamekalia fukuto!
 
Si ameandika tu uko tweeter,kuandika awajaanza leo,wino upo wakutosha acha waandike tu.ila ukweli utabaki palepale mzee Sief awezikuwa Rais wa Zanzibar hata iweje.
Jiwe ameharibu nchi yetu sana aburuzwe mahakama za kimataifa.
 
Asante balozi USA ,dunia inashuhudia kila uovu na dhuluma.
 
Back
Top Bottom