Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo wapi?
Acheni Propaganda za amani. Nchi zaidi ya 50 za Africa karibu zote zina amani na watu wanakaa kwa utulivu. Msitusimangie amani as if dunia nzima ipo vitani.
Nchi za Africa ya kaskazini zilikuwa hivi hivi tulivu hadi vijana walipoamua kufanya mabadiliko kwa nguvu ndio wakajua kumbe walikuwa wamekalia fukuto!
chukua jiwe tu kawapige FFU kitu ganii...halafu waambie hata sisi tunammind mmarekani kuwaonea waafrika wenzetuKila mwenye akili timamu lazima atalaani kinachotokea,lakini cha ajabu kuna mjinga mmoja mwenye mahaba niue kwa jiwe atasema mabeberu wanatuingilia mambo yetu
Hili limo njiani very soon. Ni Meko, Mabeyo, Sirro na Diwani. Mtoto atumwi dukani mwaka huuMeko aburuzwe the Hague ametuharibia nchi yetu.
mawe waliyopigwa risasi ndiyo justification yenu ya kuuua raiya kwa risasi????Wakati jana mnafurahia video za wahuni wachache wakiwapopoa polisi na matofari mlijiuliza polisi mwenye ak 47 akiamua kujibu matokeo yake yatakuwaje...
Mzee Seif na Lissu ni vibaraka hawawezi kamwe kuwa viongozi wa hizi nchi.Wewe, awe Rais au asiwe Rais unafaidika na kupoteza nini ?!. Huyo Seif amewahi kushika vyeo huko Ccm, ambavyo wewe na umbumbumbu wako huwezi kuzishika .
Ameanza kupata akili sasa'let us pray for peaceful, fear election'.Kutii sheria bila shurti ni jambo jema.Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605
Very soon linakuja hili. Kwa anayofanya Zanzibar, Dunia haiwezi kumuacha kamweJiwe ameharibu nchi yetu sana aburuzwe mahakama za kimataifa.
hv hawa wamarekani washakubali kuitambua the hague ???Asante balozi USA ,dunia inashuhudia kila uovu na dhuluma.
Ndo manavyojidangaya??? Ungekuwa unajua yajayo hata huu upumzike usingeuandikaAmeanza kupata akili sasa'let us pray for peaceful, fear election'.Kutii sheria bila shurti ni jambo jema.
Mungu hawezi iweka nchi hii mikononi mwa mawakala wa mashoga na wasagaji never.Mzee Seif na Lissu ni vibaraka hawawezi kamwe kuwa viongozi wa hizi nchi.
Mungu awabariki viongozi wetu wajao JPM na H.Mwinyi."Aaaamin"
Wewe msukule,hakuna polisi mwenye AK 47.Wakati jana mnafurahia video za wahuni wachache wakiwapopoa polisi na matofari mlijiuliza polisi mwenye ak 47 akiamua kujibu matokeo yake yatakuwaje...
Si mlisema mnakinukisha..vipi imekuaje?Jiwe ameharibu nchi yetu sana aburuzwe mahakama za kimataifa.
Ndo mnavyojiaminisha huko Lumumba??Ukisikia kuomba jamvi msibani ndio huku...unajipeleka barabarani ili upigwe na video zako zitumwe kwa mabawana wakubwa nchi yako iwekewe vikwazo, na wakati huo huo kwa bwana mkubwa wapo wanapakana matope na email za siri za wagombea, matangazo ya kampeni ya kuitana mazombie, polisi wakitandika waandamanaji Chicago, China ikiwaminya mbavu kwenye biashara, deni kubwa la kupambana na vmafua....nk
Kwa taarifa za wafanya fujo huu mwaka wana bahati mbaya,
Tumekinukisha na nyie ndo mnazidi kupeleka ushahidi ICCSi mlisema mnakinukisha..vipi imekuaje?
Unaongea kinyume. Sisi sote tunajua wazalendo wa kweli ni akina naniMzee Seif na Lissu ni vibaraka hawawezi kamwe kuwa viongozi wa hizi nchi.
Mungu awabariki viongozi wetu wajao JPM na H.Mwinyi."Aaaamin"