Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

Ushahidi wa unyanyasaji wa watawala dhidi ya wananchi uzidi kukusanywa ili wakawajibishwe ICC.
Hakuna aliye juu ya sheria, na kila anayetumia nguvu ya dola bila sababu ili kuwa madarakani kwa nguvu hana budi kushughulikiwa ipasavyo
 
Ukisikia kuomba jamvi msibani ndio huku...unajipeleka barabarani ili upigwe na video zako zitumwe kwa mabawana wakubwa nchi yako iwekewe vikwazo, na wakati huo huo kwa bwana mkubwa wapo wanapakana matope na email za siri za wagombea, matangazo ya kampeni ya kuitana mazombie, polisi wakitandika waandamanaji Chicago, China ikiwaminya mbavu kwenye biashara, deni kubwa la kupambana na vmafua....nk
Kwa taarifa za wafanya fujo huu mwaka wana bahati mbaya,
 
Acha Upuuzi dogo
 
Kila mwenye akili timamu lazima atalaani kinachotokea,lakini cha ajabu kuna mjinga mmoja mwenye mahaba niue kwa jiwe atasema mabeberu wanatuingilia mambo yetu
chukua jiwe tu kawapige FFU kitu ganii...halafu waambie hata sisi tunammind mmarekani kuwaonea waafrika wenzetu
 
Nyie jana si mmewachokoza police kwa kuwarushia mawe,wakina mange kimange wakawa wanawavimbisha mabichwa yenu..sasa police wamewafinya kidogo mnaanza kulialia.
 
Mzee Seif na Lissu ni vibaraka hawawezi kamwe kuwa viongozi wa hizi nchi.
Mungu awabariki viongozi wetu wajao JPM na H.Mwinyi."Aaaamin"
Mungu hawezi iweka nchi hii mikononi mwa mawakala wa mashoga na wasagaji never.
 
Wakati jana mnafurahia video za wahuni wachache wakiwapopoa polisi na matofari mlijiuliza polisi mwenye ak 47 akiamua kujibu matokeo yake yatakuwaje...
Wewe msukule,hakuna polisi mwenye AK 47.
 
Ndo mnavyojiaminisha huko Lumumba??
 
Mzee Seif na Lissu ni vibaraka hawawezi kamwe kuwa viongozi wa hizi nchi.
Mungu awabariki viongozi wetu wajao JPM na H.Mwinyi."Aaaamin"
Unaongea kinyume. Sisi sote tunajua wazalendo wa kweli ni akina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…