Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
JPM na Mwinyi ni washtakiwa watarajiwa wa ICC. Hili halina ubishiMzee Seif na Lissu ni vibaraka hawawezi kamwe kuwa viongozi wa hizi nchi.
Mungu awabariki viongozi wetu wajao JPM na H.Mwinyi."Aaaamin"
Mnaongeaga tu kuhusu mahakama za kimataifa ila amjui lolote.Jiwe ameharibu nchi yetu sana aburuzwe mahakama za kimataifa.
Kwann polisi wafanye hivyo? Kuna madhara risasi ikikosea njia. Wahalifu hawaadhibiwi kwa kuuliwa.Wakati jana mnafurahia video za wahuni wachache wakiwapopoa polisi na matofari mlijiuliza polisi mwenye ak 47 akiamua kujibu matokeo yake yatakuwaje...
Ukisikia kuomba jamvi msibani ndio huku...unajipeleka barabarani ili upigwe na video zako zitumwe kwa mabawana wakubwa nchi yako iwekewe vikwazo, na wakati huo huo kwa bwana mkubwa wapo wanapakana matope na email za siri za wagombea, matangazo ya kampeni ya kuitana mazombie, polisi wakitandika waandamanaji Chicago, China ikiwaminya mbavu kwenye biashara, deni kubwa la kupambana na vmafua....nk
Kwa taarifa za wafanya fujo huu mwaka wana bahati mbaya,
ICC angeenda kwanza Kagame,Nkuruvinza,Kabila na Musseven waliowa maelfu ya watu.kama kweli ICC ingekuwa Active.JPM na Mwinyi ni washtakiwa watarajiwa wa ICC. Hili halina ubishi
Kwa iyo ndo mnatisha watu??? Kwa taarifa yako watu wa namna yenu sehemu yenu inaitwa ICCNyie wachokozeni polisi , mtaelewa!
Ngoja wamalize kupiga kura kwanza
Mmekinukishia nyuma ya keyboard?Tumekinukisha na nyie ndo mnazidi kupeleka ushahidi ICC
Kwani makosa ya jinai yana time limit??? Kwa walio hai wataenda tu, saivi tunaanza na magufuli na mwinyiICC angeenda kwanza Kagame,Nkuruvinza,Kabila na Musseven waliowa maelfu ya watu.kama kweli ICC ingekuwa Active.
Hujaona hadi mmeua wenzetu??? Na badoMmekinukishia nyuma ya keyboard?
Lissu na Mzee Seif ni vibaraka wa mabeberu,madalali wa rasilimali zetu.Unaongea kinyume. Sisi sote tunajua wazalendo wa kweli ni akina nani
Dalali ni huyo aliyejenga uwanja wa ndege chatoLissu na Mzee Seif ni vibaraka wa mabeberu,madalali wa rasilimali zetu.
Wametulizaje???Halafu siku zote huo ubalozi ndo kimbelembele sana. Walileta chokochoko sana syria sasa wametuliza matako yao
Aaa wapi,,kwani nini cha ajabu kipya,mbona Mkapa alipiga pini na akuna cha mahakama ya mwanzo wala cha ICC.Kwani makosa ya jinai yana time limit??? Kwa walio hai wataenda tu, saivi tunaanza na magufuli na mwinyi
Kama chato ipo TZ ni sawa tu ila kama ipo U.S sio sawa.Dalali ni huyo aliyejenga uwanja wa ndege chato
Toka zako uko trump alivopereka jeshi uswahilini mbona ukuongea kitu ......au ulikuwa umekalia mwinchi WA tandahimba ............?? Kubavu all AmericanNchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani!
View attachment 1613605