Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Balozi amekwenda matembezi,unasema anawatafuta Chadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninani kakudanganya kuwa ukiisha chanja hauambikizwi?Barakoa yanini wakati amechanjwa
Mbona Asiende kwenu aje Iringa ?Balozi amekwenda matembezi,unasema anawatafuta Chadema!
majaribio ya nini ?Hatuko tayari kufanyiwa majaribio, mengine ni kupoteza muda tu
Historia ya Tanzani wanyakusa hawakupigania uhuru ila walisaliti wenzao wahehe na wangoni.
Kaa pembeni kidogomajaribio ya nini ?
😆😆😆..Uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa njia ya mazungumzo.
..Je, umesahau safari za Mwalimu Nyerere kwenda UN kuwasilisha maombi yetu kuwa nchi huru?
..Hakuna jamii yoyote ile iliyosaliti juhudi za kupatikana Uhuru wa Tanganyika.
Kachanjwa huyoMbona ajavaa baracoa,au baracoa zimebakiwa kuvaa Watanganyika tu?
Taarifa zinasema kwamba huenda Balozi akatoa Mwaliko kwa viongozi wa Chadema huko aendako , kwa ajili ya mafunzo maalumChadema chama la Kimataifa ratiba INAONYESHA....