kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ngoja nami nichangie mkupuo wa mwanzo safari ya members wa jf nami ndani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashangAa hawana hata online tv, halafu fursa hiyo wanaimudu JF TVNi wazi JF inaheshimika na kutambulika zaidi ya media nyingi hapa Tanzania, sasa JF waangalie uwezekano wa kuanzisha magazeti, luninga, na radio station yao.
Hizi ziara za hawa mabalozi zinaonesha vile kizuri kinavyojiuza...
Dogo Jf ni Twitter ya badae believe meHaya ndo mambo yanayonipigishaga ban sasa,hapa tu kanafsi kanarukaruka niseme kuhusu mod mpiga ban..[emoji1787]
Kwa leo naacha fujo wacha nizungumzie swala kubwa niachane na maswala madogomadogo!.
Jf juu lazima tutoboe kimataifa au mnasemaje mods..?
Mi sio dogo wewe jiangalie sana.Dogo Jf ni Twitter ya badae believe me
Mbona kama anatoka Damascus?Hicho kijamaa cha 2 kulia kili Ni interview kikanipa visa
Aisee mpaka wazungu itakuwa wananijua wamenisoma soma ndege John ndani ya JF.