Pre GE2025 Balozi wa Marekani: Nimeongea na rafiki yangu Sugu kipigo alichopata hakikubaliki, ninalaani kwa nguvu zote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote

Screenshot_20240814_222019_X.jpg

Mlale Unono 😀😀

PIA SOMA
- Tetesi: - Balozi wa Marekani kumtembelea Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa!
 
Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote

Mlale Unono 😀😀
Ukisoma Makala ya kigogo media utacheka upasuke 😂😂😂😂

Sugu ni wakala wao na Marekani ni kama kwao Sasa amesuguliwa kweli kweli sijui atarudi kugombea au ndio Kwa heri 🤣🤣🤣🤣
 
first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, it’s too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa …
 
Yule afande awadh kwanini ana ubaguzi si amkamate na huyu mhuni amtandike makofi 🤣🤣🤣Maana yy wapinzani anawaita wahuni.Ila asakari hamjifunzi tu sponsa hufariki ama kufuria jeuri za madaraka zisikufanye upoteze utu km mnataka la kujifunza ni hapo zambia Yule afande alie kua kiherehere kunyanyasa wapinzani Hichirema akamchagua Mkuu wa jeshi wakati anaapa alikua anatetemeka kama mashine ya kokoto 🤣🤣🤣.
 
Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...🙏🙏🙏
 
Ukisoma Makala ya kigogo media utacheka upasuke 😂😂😂😂

Sugu ni wakala wao na Marekani ni kama kwao Sasa amesuguliwa kweli kweli sijui atarudi kugombea au ndio Kwa heri 🤣🤣🤣🤣
Tunamshukuru Mpendwa Wetu Mh Rais Samia Kwa kuwarejesha Vijana wa Shujaa Magufuli

Kabudi, Lukuvi na Johari 😂😂😂😂😂🌹🌹🌹🌹🌹
 
Vipi Trump kupigwa risasi ya sikio ..inakubalika
 
first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, it’s too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa …
Anamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.

Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.

Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu
 
Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote

Mlale Unono 😀😀
Nadhani Sugu alimtamkia awadhi maneno flani ya kejeli jamaa adrenaline ikapanda si unamjua Sugu anaweza kukuumiza tu kwa kuongea.
 
kauli ya baloz wa USA huwa ni nzito! Wanadiplomasia tunaelewa.
Sana kiongozi. Achana na hawa maandazi wasiotumia akili. Yaani hapo intelijensia yao inaweza kuwa na plan A, B, etc kufanikisha kile walichozamilia. Suluhisho halikuwa kumpiga Sugu bali ni kuona namna ya kumuelewesha uzalendo. Nchi hizi zilizoendelea ki intelijensia ni hatari mno. Nadhani Poilce wetu wana la kujifunza kutumia mbinu zisizo tumia nguvu kuweza kuwa contain wapinzani siyo kuwapiga, hii nchi haipo chini ya wakoloni, tuliwalaani wakoloni kwa kutuua na kutupiga leo tunalaaniana sisi kwa sisi
 
first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, it’s too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa …
Sugu siyo nickname ni jina la kisanii.

Jay Z ameitwa hivyo na Obama.

Nafikiri upo shallow juu ya sanaa ya Tz ndiyo maana unahisi ni nickname
 
Anamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.

Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.

Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu

basi ni ujumbe wa kishikaji tuseme na siyo wa serikali ya USA …
 
Anamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.

Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.

Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu
Wapumbavu huwa hawajibiwi mkuu
 
Back
Top Bottom