Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Sugu siyo nickname ni jina la kisanii.
Jay Z ameitwa hivyo na Obama.
Nafikiri upo shallow juu ya sanaa ya Tz ndiyo maana unahisi ni nickname
obama alimuita jay z kwenye mazingira gani? US government ikitoa statement kuhusu jay z wataandika government name yake sean carter, au huwezi kuona US governement wakaandika tu p diddy kama ni official government statement wataandika sean combs lkn kama ni utani na comedy anaweza kusema p didy …