johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukisoma Makala ya kigogo media utacheka upasuke ππππBalozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote
Mlale Unono ππ
Tunamshukuru Mpendwa Wetu Mh Rais Samia Kwa kuwarejesha Vijana wa Shujaa MagufuliUkisoma Makala ya kigogo media utacheka upasuke ππππ
Sugu ni wakala wao na Marekani ni kama kwao Sasa amesuguliwa kweli kweli sijui atarudi kugombea au ndio Kwa heri π€£π€£π€£π€£
Anamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, itβs too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa β¦
Nadhani Sugu alimtamkia awadhi maneno flani ya kejeli jamaa adrenaline ikapanda si unamjua Sugu anaweza kukuumiza tu kwa kuongea.Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote
Mlale Unono ππ
Sana kiongozi. Achana na hawa maandazi wasiotumia akili. Yaani hapo intelijensia yao inaweza kuwa na plan A, B, etc kufanikisha kile walichozamilia. Suluhisho halikuwa kumpiga Sugu bali ni kuona namna ya kumuelewesha uzalendo. Nchi hizi zilizoendelea ki intelijensia ni hatari mno. Nadhani Poilce wetu wana la kujifunza kutumia mbinu zisizo tumia nguvu kuweza kuwa contain wapinzani siyo kuwapiga, hii nchi haipo chini ya wakoloni, tuliwalaani wakoloni kwa kutuua na kutupiga leo tunalaaniana sisi kwa sisikauli ya baloz wa USA huwa ni nzito! Wanadiplomasia tunaelewa.
Sugu siyo nickname ni jina la kisanii.first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, itβs too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa β¦
Anamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.
Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.
Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu
Wapumbavu huwa hawajibiwi mkuuAnamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.
Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.
Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu