Sugu siyo nickname ni jina la kisanii.
Jay Z ameitwa hivyo na Obama.
Nafikiri upo shallow juu ya sanaa ya Tz ndiyo maana unahisi ni nickname
Bali mnaongozwa from Beijing na Moscow?Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...πππ
Sugu siyo nickname ni jina la kisanii.
Jay Z ameitwa hivyo na Obama.
Nafikiri upo shallow juu ya sanaa ya Tz ndiyo maana unahisi ni nickname
Kama ni kweli ameitoa inabidi aitwe kuhojiwa ...je aliwatuma kuleta taharuki?kauli ya baloz wa USA huwa ni nzito! Wanadiplomasia tunaelewa.
Ndio tutaonaLetβs wait and seeβ¦
Hahaha unaota we kengerKama ni kweli ameitoa inabidi aitwe kuhojiwa ...je aliwatuma kuleta taharuki?
Una maana Tulia ana mkono katika hicho kipondo? Awadhi anangojea kuapishwa tu kuwa IGPUkisoma Makala ya kigogo media utacheka upasuke ππππ
Sugu ni wakala wao na Marekani ni kama kwao Sasa amesuguliwa kweli kweli sijui atarudi kugombea au ndio Kwa heri π€£π€£π€£π€£
Bakuli ndiyo linawaponza,masikini hana kiapo.Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...πππ
HatersUkisoma Makala ya kigogo media utacheka upasuke ππππ
Sugu ni wakala wao na Marekani ni kama kwao Sasa amesuguliwa kweli kweli sijui atarudi kugombea au ndio Kwa heri π€£π€£π€£π€£
USAID zipo hadi chumban kwa mama yako ,ikiwa mlisha likubali hilo basi mkubali kupangiwa maisha,Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...πππ
Ila hilo dudu Awadhi atakuwa na maisha mafupi sana baada ya hilo tukio, Dhuluma huwa haina Kinga ya kuadhibiwa na Mungu wetu wa ukweliBalozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote
Mlale Unono ππ
Hili nilijaribu kufikiria pia, maana Sugu ana maneno ya shombo na kukera mno, refer kipindi akiwa bungeni, no wonder kati ya wote yeye pekee ndio awe mahututi.Nadhani Sugu alimtamkia awadhi maneno flani ya kejeli jamaa adrenaline ikapanda si unamjua Sugu anaweza kukuumiza tu kwa kuongea.
Wanaongozwa na DubaiBali mnaongozwa from Beijing na Moscow?
Remote ipo Oman kwa mjomba.Wanaongozwa na Dubai
Maji yametibuka πUna maana Tulia ana mkono katika hicho kipondo? Awadhi anangojea kuapishwa tu kuwa IGP
Mambo yametindingana,ndani ntiti nje ntiti.Maji yametibuka π
Tujadili kwa heshima basi! Mamangu au mama wako wewe ambaye ni sawa wanaingiaje? Kwakuwa nina maadili mema nikuhakikishie namheshimu mama yako kama ninavyo mheshimu mama yangu. Issue ni # Tanzania haipangiwi mambo yake. Tujadili wenyewe na kutafuta suluhu. πππUSAID zipo hadi chumban kwa mama yako ,ikiwa mlisha likubali hilo basi mkubali kupangiwa maisha,