Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Sisi wala hatuna noma. Bwana ametoa bwana ametwaaHivi Tz imesenaje kufuatia wal wanajeshi wetu waliouliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wala hatuna noma. Bwana ametoa bwana ametwaaHivi Tz imesenaje kufuatia wal wanajeshi wetu waliouliwa?
90-93, alikuwa anakaa jirani na basata, nyumba aliyokuwa akiishi bahati ipo mpaka leo hii.Kagame kakaa Ilala Dar es salaam mwaka gani mkuu?
Mwaka 1990 Kagame alishakuwa kamanda wa RPF amevamia Rwanda huko acha kamba.90-93
Hata kabila (baba) yake alikuwa hapa hapa ilala, walifanya shughuli zao hapa na organization zao,na mikutano yao ya faragha, huku mengine yakiendelea huko makwao, hawakufanya mipango wakiwa site hapana.Mwaka 1990 Kagame alishakuwa kamanda wa RPF amevamia Rwanda huko acha kamba.
Kabila inajulikana alikuwa Dar watu wengi tunajua.Hata kabila (baba) yake alikuwa hapa hapa ilala, walifanya shughuli zao hapa na organization zao,na mikutano yao ya faragha, huku mengine yakiendelea huko makwao, hawakufanya mipango wakiwa site hapana.
Nyerere alikuwa CIA yule.Enzi za Nyerere hii ilikuwa stage two ya vita - kutafutiwa majina mabaya for public support. Angeitwa nduli, paka shume, jangili, liuwaji, etc
ikishawaingia wananchi akilini angeandaa audience pembezoni kabisa huko kuongea na warina asali na angetumia nafasi hiyo kutangaza vita.
Zile phrases tatu - sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo alizitolea Songea na ndio vita na Nduli Idd Amin Dada ikawa imetangazwa rasmi!
Kagame wakati huo alikuwa na Museveni Uganda kumbukaKabila inajulikana alikuwa Dar watu wengi tunajua.
Joseph mwanawe kasoma Zanaki jioni na watu aliosoma nao mpaka leo wengine wapo Dar wanamjua.
Hiyo Kagame umemuonaje wewe peke yako? Kwani hapa hakuna watu wa Ilala?
1990 Kagame alikuwa anapigana Rwanda, sasa muda huo huo anapigana Rwanda halafu anakaa Ilala tena?
Na balozi wao pale Kigali ajiandae kufurushwaKufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa Rwanda pale Pretoria ufungwe mara moja na Wanadiplomasia (akiwemo) Balozi afurushwe.
=============
Malema calls for closure of Rwandan embassy, blames Kagame for deaths of SANDF soldiers
SOURCE: https://www.news24.com/news24/polit...-kagame-for-deaths-of-sandf-soldiers-20250203
Mwaka 1990 Yoweri Museveni alimpeleka Kagame kuenda kusoma Marekani. Kutokea Uganda akiwa mkuu wa Usalama Uganda. Baada ya Paul Kagame na Fred Rwigyema kuonekana wanaanzisha vuguvugu la kushambulia Rwanda.Kagame wakati huo alikuwa na Museveni Uganda kumbuka
Wewe na aliyekusimulia wote ng'ombe.90-93, alikuwa anakaa jirani na basata, nyumba aliyokuwa akiishi bahati ipo mpaka leo hii.
Kwamba atakufa au atapinduliwa acha akili za kitumwa wewe zama zimebadilika sasaRamaphosa siku zake zinahesabika!
Jinga ili.Kwamba atakufa au atapinduliwa acha akili za kitumwa wewe zama zimebadilika sasa
Lakini Kagame amesomea ujasusi Tanzania, ujana wake na utoto kwa asilimia kuwa ameishi Uganda.Wewe na aliyekusimulia wote ng'ombe.
Kagame mwaka 1986 aliteuliwa kuwa Chief of intelligence jeshini. Tokea hapo mpaka huo mwaka 1990 Fred Rwigyema ndipo alipofariki wakati RPF wanaenda kupigana Rwanda. Kagame akaanza kuongoza vikosi vya RPF ndani ya Rwanda.
Usituletee habari zako za kilabu cha gongo hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hujabubujikwa na Machozi?
Achana na vijana wa JF, huwa wanaongelea hisia badala ya kufanya utafiti na kueleza ukweli. Kila kitu kinajulikana. Wao badala ya kusoma ili kujiongezea maarifa wanakaa kushabikia ujinga. Hawawezi hata kupata kutoka kwa watu kama hawaMwaka 1990 Yoweri Museveni alimpeleka Kagame kuenda kusoma Marekani. Kutokea Uganda akiwa mkuu wa Usalama Uganda. Baada ya Paul Kagame na Fred Rwigyema kuonekana wanaanzisha vuguvugu la kushambulia Rwanda.
Sasa Mkuu wa Usalama wa Uganda aliyepelekwa kusoma Marekani anakaa Ilala tena?
Kagame kasoma Uganda alikoishi tangu utoto, Marekani na Cuba. Tanzania atakuwa kaishi na hao waasi, ila kama ulivyosema sio miaka ya 80s wala 90s.Lakini Kagame amesomea ujasusi Tanzania, ujana wake na utoto kwa asilimia kuwa ameishi Uganda.
Nadhani ni miaka ya 1970s.
Rwigyema alijiunga na Tanzania na kundi la waasi la Museveni FRONASA kumuondoa nduli Amin mwaka 1979.
Hivyo naona Kagame kama aliishi Tanzania ni miaka ya 1970s, baada ya vita ya Uganda Kagame ndipo alikwenda Kansas kwa mafunzo zaidi ya kijeshi.
Nguvu bila hekima na busara ni ubatili mtupuRwanda wanajidanganya wana nguvu sana. Ila sasa hivi wamejikoroga