https://tz.usembassy.gov › u-s-emba...
U.S. Embassy Congratulates Maxence Melo on International ...
18 Jul 2019 — Maxence Melo Mubyazi (Photo courtesy of Jamii Forums). Dar es Salaam: The United States Embassy in Tanzania congratulates ...
Swali zuri Sana. Niliwahi kumuuliza Max!Hivi Hawa jf wao wananufaikaje kwenye huu mtandao ,maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.
Sitak muamin et mb ndio faida yao ,maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.
Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Kwa suala la UHURU wa kujieleza na kulinda faragha za wateja wake LONG LIVE JF
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kama TU YouTube watu wanapiga hela na ni wasanii wadogo sembesu jf ambayo tuko nayo kila sekunde.....Google hulipa sites zinazotembelewa Sana ndo maana hata porn site wanapiga hela.Hivi Hawa jf wao wananufaikaje kwenye huu mtandao ,maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.
Sitak muamin et mb ndio faida yao ,maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.
Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Huo ni moyo wakujitolea zaidi ya kuangalia faida binafsi. Huu ndio uzalendo wa kweli Kwa taifa .Sii wale wenzetu na siye wanatufunga midomo tusiongee na tusipate habari zilizo huru huku wakijiita wazalendo. Kumbe no mbinu za kuzuia uovu wao usijulikane.Hivi Hawa jf wao wananufaikaje kwenye huu mtandao ,maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.
Sitak muamin et mb ndio faida yao ,maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.
Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
kwani Huyo mod kavaa fulana ya CHADEMA mpaka awe na visa na wewe?Kuna mod yuko hapo hupenda sana kunipiga ban..
Nlipomuona tu nikapata hasira.
Ni shabiki wa chadema kabisa! Ana unazi wa kijinga sana,kwani Huyo mod kavaa fulana ya CHADEMA mpaka awe na visa na wewe?
Anyway umenichekesha Sana kamanda ila Hiyo staff ya JF imetulia na smart tuache masikhara!
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Kwahiyo hilo kwako linakupa furaha sana?Kilichonifurahisha sana kwenye hizo picha ni huyo balozi na team yote ya Jamii Forums kutovaa barakoa na ku keep social distance
Balozi wa Sweden anajionyesha wazi kuwa yeye ni mtu social mtu wa watu anayeendana na majority ya watanzania ambao hawaamini kwenye kuvaa barakoa na ku keep social distance na kuamini kuwa Corona ni utapeli tu ndani ya Tanzania...
Hongera sana JF pamoja nanyi tutafika mbali.Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana .
Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU MKUMBWA WA KUTOA MAONI NA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZA KULINDA FARAGHA ZA WATEJA WAKE
Mungu ibariki JF
=========
Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Anders Sjoberg leo Februari 1, 2022 ametembelea ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa JF.
Pamoja na mambo mengine, ameweza kujua namna Jamii Forums inavyoendesha shughuli zake katika kuhakikisha inafanya uchechemuzi wa Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Demokrasia na Utawala Bora nchini Tanzania.
JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com unaotoa nafasi kwa Watanzania kutumia #UhuruWaKujieleza kwa njia ya mtandao na kujadili masuala anuai, ikisaidia wananchi (Citizen Journalists) kupaza sauti zao
View attachment 2104562View attachment 2104563View attachment 2104564View attachment 2104565View attachment 2104566
Mimi nina akili kama za mzungu huyo balozi wa Sweden kwenye issue ya Corona tofauti na mswahili weweKwahiyo hilo kwako linakupa furaha sana?
Ujinga ni mzigo mkibwa!!!!
Yule moderator mtamu yule paleeeeHii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana .
Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU MKUMBWA WA KUTOA MAONI NA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZA KULINDA FARAGHA ZA WATEJA WAKE..
Hongereni sana Jamii forumHii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana .