Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Kumbe JF kuna pisi kali namna hii??

Kuna hiyo moja white karibia na Bolozi.red😘😘😘
Ila wengi unawasingizia pis kali za kuhesabu hapo. Mimi huyo white tu ndiye kanivuta na hiyo rangi yake lakini siyo pis kali kivile! Ni wa kawaida sana! Wanazidiwa hata na akina Madame T na mwenzake Miss Natafuta!
 
Hivi Hawa JF wao wananufaikaje kwenye huu mtandao, maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.

Sitaki muamin et mb ndio faida yao maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.

Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Hakuna mtandao wa jamii wowowte unaonufaika kupitia MB zako za internet, zaidi ya ISP Wako mkuu,

Social network/ app/web zina tengeneza pesa kwa njia nyingine kabisa .. na sio Bando la internet ulilonunua hilo linaenda direct kwenye mtandao wako unaotumia.
 
Rick boy angekuwepo maana uzi wake pendwa umetupa maujuzi
 
Ala kumbe JF sasa hivi ipo hadi anga za kimataifa - sema tu wazungu hawajui kiswahili wangekuwa wanacheka balaa kama wangefuatilia michango ya wachangiaji.
 
Back
Top Bottom